Msaada homa kali.


h120

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Messages
2,072
Likes
1,795
Points
280
h120

h120

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2012
2,072 1,795 280
Ndugu daktari nimepata homa kali sana jioni hii, na chanzo cha hii homa nimekinasa, ilikuwa hivi jana mida ya jioni nilipata mlo wa mkate uliopakwa blue band na chai kidogo swaafi. Sasa wakati naendelea kula nikaanza kugundua kale ka mkate kalianza kuharibika nahs blu band ilisaidia kunificha nisigundue mapema ila niliacha kula, Mziki umeanza leo asubuh katumbo kalikuwa kana bip nilivumilia ilipo fika mida ya saa kumi nikiwa home nikaenda ku drive msalani kidogo, baada ya hapo tumbo liliacha kuuma, ndani ya dakika kumi nikaanza kutetemeka, mwili wamoto sana na headache ikaanza safari.
samahami ndugu dokta kwa maelezo marefu.
help miii.
 
h120

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Messages
2,072
Likes
1,795
Points
280
h120

h120

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2012
2,072 1,795 280
Jaman msaada ndo nakosa.
 

Forum statistics

Threads 1,272,646
Members 490,095
Posts 30,455,941