Pamoja na kwamba unaumwa, lakini uzi wako uko vizuri na unamajibu mazuri kiasi cha kutufanya tupende kukusaidia kwa "tiba". Nadhani walioko karibu watatuwakilisha kukusaidia. Usisahau kuleta mrejesho.Ni protected
Asante ntashukuru sana kwa msaada nikipona ntaleta mrejesho ucjal maana cyo kwa kuteseka hukuPamoja na kwamba unaumwa, lakini uzi wako uko vizuri na unamajibu mazuri kiasi cha kutufanya tupende kukusaidia kwa "tiba". Nadhani walioko karibu watatuwakilisha kukusaidia. Usisahau kuleta mrejesho.
Seriously.....Uko serious nipo maeneo ya mipango
Naunga mkono hoja....[emoji12] [emoji12]Pamoja na kwamba unaumwa, lakini uzi wako uko vizuri na unamajibu mazuri kiasi cha kutufanya tupende kukusaidia kwa "tiba". Nadhani walioko karibu watatuwakilisha kukusaidia. Usisahau kuleta mrejesho.
Pole sana kwa mateso unayo yapitia mkuu.Asante ntashukuru sana kwa msaada nikipona ntaleta mrejesho ucjal maana cyo kwa kuteseka huku
Nashukuru sana unanitia moyo uwe bac na hyo Dawa kwel itapendeza zaidPole sana kwa mateso unayo yapitia mkuu.
Kwakua dawa ninayo, basi hofu ondoa na jiskie kama umepona mujarab...
Kuna doctor wa mifupa nilimuelezea akaniambia et kuna baadhi ya mishipa inakandamizwa damu inashndwa kutembea vzur baadh ya maeneo ndomana nahc kutembelewa na kupata mapele na muwasho xaxa cjui pana ukwel hapo mtaalamu maana mwanzo nilikuwa napata maumivu ya mishipa na miguu kuwaka moto na ganzi sema sasa shda yy yuko Mwanza aliniambia niende anitibu anifanyie na masaji ya misuli ntapona ila ndo cmjui nilipewa no na mtuIDEA, VIPELE VIKO VERY SIMILAR NA ACUTE HIV INFECTION
Dawa umesha ipata hakiNashukuru sana unanitia moyo uwe bac na hyo Dawa kwel itapendeza zaid
Inaitwaje hyo dawaDawa umesha ipata haki
Nikiviona ndipo nitakushauri dawa itakayo kufaa mkuu....Inaitwaje hyo dawa
Xaxa live c utanichungulia mkuu jomon? Mbona nmetuma pc angalia hzo pcNikiviona ndipo nitakushauri dawa itakayo kufaa mkuu....
Otherwise hapa nitakudanganya tu
We ni doctor au unapga mishe gan?Nikiviona ndipo nitakushauri dawa itakayo kufaa mkuu....
Otherwise hapa nitakudanganya tu
Mkuu naona wewe hauna haja na tiba wallah.....Xaxa live c utanichungulia mkuu jomon? Mbona nmetuma pc angalia hzo pc
Vp ulipona tatizo lako?Habari zenu wana JF?
View attachment 692112
Naombeni msaada wenu nateseka na hivi vipele vya rangi nyekundu vinawasha sana hii wiki ya 3 toka vianze kunitokea,. Naomba msaada mwenye kujua dawa maana minyoo nimepima sina hospital wamenipa dawa za alleji nimemaliza juzi ila hazijasaidia chochote.
Naomba msaada wenu nifanyaje au nitumie nini.
Mungu awabariki.
La la la mbuzi kafia kwa muuza supu..daaaah kazi ipoMkuu naona wewe hauna haja na tiba wallah.....
jmn Mimi pia ninavyo ulipatje dawa?Habari zenu wana JF?
View attachment 692112
Naombeni msaada wenu nateseka na hivi vipele vya rangi nyekundu vinawasha sana hii wiki ya 3 toka vianze kunitokea,. Naomba msaada mwenye kujua dawa maana minyoo nimepima sina hospital wamenipa dawa za alleji nimemaliza juzi ila hazijasaidia chochote.
Naomba msaada wenu nifanyaje au nitumie nini.
Mungu awabariki.
jmn Mimi pia ninao ivoivo Hakuna kilichobadilika paka story vip umeshapona?Habari zenu wana JF?