Ungeweka picha tuvione ili tukusaidie kwa uhakika zaidi.

Pc hyo nmeweka hvyo vyekundu alaf ni mwili mzmaUngeweka picha tuvione ili tukusaidie kwa uhakika zaidi.
Vipo kwenye mapaja miguuni mikonon tumbon mgongon yan tuseme mwili mzma vinawasha sana nikijikuna vinaumavipo kwenye paja au mkono?
pima vipimo vya allergy ujue ni allergy ya kitu gani,Vipo kwenye mapaja miguuni mikonon tumbon mgongon yan tuseme mwili mzma vinawasha sana nikijikuna vinauma
Asante mkuu hv alej wanapimaje maana nipo Dodoma walinambia et hamna hospital inayopma alej dodomapima vipimo vya allergy ujue ni allergy ya kitu gani,
zaidi ya pale nenda hospital kubwa uangalie wataalamu wa mambo ya ngozi,,
nenda hospital za private mbona hapa dar hospital za kawaida wanapima,, gharama zake haipungu 100,000Asante mkuu hv alej wanapimaje maana nipo Dodoma walinambia et hamna hospital inayopma alej dodoma
Asante my ntaendanenda hospital za private mbona hapa dar hospital za kawaida wanapima,, gharama zake haipungu 100,000
pole sana mkuuAsante my ntaenda
Asante sana ubarkiwepole sana mkuu
Mwez wa 12 vilianza vipele vidogo vidogo vinavyowasha vinajitengeneza style kama shiling vilianza mkononi badae vikatokea mwili mzma den vikawa vinakauka vinaacha alama vinatoka tena vingne wik ile kule ndovikaanza kutoka vngne vyekundu tofaut na vya mwanzo, kwenye familia hakuna Mwenye alej, kaz Bdo cjapata nmemalza Chuo mwaka juz. Mwanzo vilianza hvlini vilianza? vilianzia sehemu gani, history ya allergy kama unayo au ktk familia, kuna ndugu yko kawahi pata? kazi gani unafanya it cud be risk factor, dawa gani so far umetumia... highlight kipele kimoja ktk closer view.. hlf pattern ya distribution inahusika na sero status yko... kama information ukitoa inaweza kuwa rhc kutambua ni nini...

Mwez wa 12 vilianza vipele vidogo vidogo vinavyowasha vinajitengeneza style kama shiling vilianza mkononi badae vikatokea mwili mzma den vikawa vinakauka vinaacha alama vinatoka tena vingne wik ile kule ndovikaanza kutoka vngne vyekundu tofaut na vya mwanzo, kwenye familia hakuna Mwenye alej, kaz Bdo cjapata nmemalza Chuo mwaka juz. Mwanzo vilianza hv

Habari zenu wana JF?
View attachment 692112
Naombeni msaada wenu nateseka na hivi vipele vya rangi nyekundu vinawasha sana hii wiki ya 3 toka vianze kunitokea,. Naomba msaada mwenye kujua dawa maana minyoo nimepima sina hospital wamenipa dawa za alleji nimemaliza juzi ila hazijasaidia chochote.
Naomba msaada wenu nifanyaje au nitumie nini.
Mungu awabariki.
Umeijulia wapi?Dah Hii ngozi kama naijua vile!