Oworuganda JF-Expert Member Joined Feb 6, 2016 Posts 2,188 Reaction score 2,795 Dec 6, 2017 #41 Lugeye said: Samahanini wana zuoni naomba mnisaidie kujua hv UDSM kuna kozi ya udaktari wa binadamu kama ile inayotolewa muhimbili,kama ipo ,ipo kitivo gani Click to expand... Ipo na intake ya kwanza kabisa ndo wako mwaka wa tatu na kama sikosei sa hv wako Mbeya Field
Lugeye said: Samahanini wana zuoni naomba mnisaidie kujua hv UDSM kuna kozi ya udaktari wa binadamu kama ile inayotolewa muhimbili,kama ipo ,ipo kitivo gani Click to expand... Ipo na intake ya kwanza kabisa ndo wako mwaka wa tatu na kama sikosei sa hv wako Mbeya Field
L Lugeye JF-Expert Member Joined Apr 18, 2011 Posts 1,679 Reaction score 2,917 Dec 6, 2017 Thread starter #42 Songa heri said: Ipo na intake ya kwanza kabisa ndo wako mwaka wa tatu na kama sikosei sa hv wako Mbeya Field Click to expand... Asante sana mkuu
Songa heri said: Ipo na intake ya kwanza kabisa ndo wako mwaka wa tatu na kama sikosei sa hv wako Mbeya Field Click to expand... Asante sana mkuu
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 12,333 Reaction score 15,049 Dec 6, 2017 #43 Doubleg Mwamasangula said: Mkuu unataka kusema faculty na college ni kitu kimoja? Maelezo yako yamenichanganya kidogo Unaposema hizo taasisi zilikuwa faculty za udsm badala ya kusema zilikuwa college Click to expand... Zilianzia kama faculties, then collages.
Doubleg Mwamasangula said: Mkuu unataka kusema faculty na college ni kitu kimoja? Maelezo yako yamenichanganya kidogo Unaposema hizo taasisi zilikuwa faculty za udsm badala ya kusema zilikuwa college Click to expand... Zilianzia kama faculties, then collages.