Msaada: Hivi ni vidonge gani?

Asante mkuu
 
Wewe utaua mtu!
 
Duuuuuuh
 
Kuna mtu aliwah kuuliza swali hili hili kama lako na majibu ilikuwa arv

Kuna watu wako busy kugeuzageuza thread, akiona thread ime trend sana naye anatafuta muda wa kuirudisha thread kwa mgongo wa nyuma, sijui huwa wanafaidika nini?
 
Kuna watu wako busy kugeuzageuza thread, akiona thread ime trend sana naye anatafuta muda wa kuirudisha thread kwa mgongo wa nyuma, sijui huwa wanafaidika nini?
Una hakika na unachokisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…