Hii hoja iko katika misingi ya kibaguzi haijasimama kwenye haki uyu kipozeo anataka kutuaminisha kwamba wanawake hawana haki huko peponi au hawaruhusiwi kwenda? je nao watagegedwa nakina nani wakati nyie wanaume mtapewa wanawake 40 wa huko peponi siyo hawa wakina ashura ambao nao mtaenda nao hukoUnapewa nguvu 100 za kugegeda mizigo 40, jamani mbinguni kuna mizigo nyie tendeni mema tu in "Kipoozeo voice"
Kwani tutakaa mbinguni siku zote mkuu?
Si dunia itabwa upya tena?
Mi naamini kuna maisha baada ya kufufuka.
Unajua samutaimu wapenzi wa duniani wanachanganya sana mpaka inafikia hatua unaona ni vizuri kutokuoa kabisa
Na pengine unakuta umezaliwa anithi( huna huwezo wa wa kuwa na mke na ukafanya naye tendo takatifu la ndoa) au ulipata ajali ukawa umepata matizo ya uzazi.
Yawezekana umeachika kwenye ndoa nyingi kisa hjna uwezo wa kushika mimba na kupata mtoto.
Hivi ikitokea nikaacha kuoa hapa duniani je huko mbinguni (kwa wengine peponi) au baada ya kiama kuna uwezekano wa kuoa tena?
Nisaidieni ili nifanye maamuzi.
ASANTENI
By the way hao bikira 70 utaweza kuwaridhisha wote? Au Mchuzi wa Pweza utakua unapatikana pia na huko.Longolongo tu hizo mkuu,hilo haliwezekani yaani kila mwanaume apewe mabikra 70 si kutakuwa na miguno ya mahaba mbingu nzima mpaka Mungu akose utulivu wa kuamua mambo mengine ya msingi?maaana vidume muda wote vitakuwa vinajikunja ili kuwaridhisha wake zao.
Pata picha wabongo wanavyopenda ngono then ndo ameshakabidhiwa bikra zake sabini hiyo mbingu itakalika kweli?maana kila saa atataka kuinua pump sasa si balaa hilo?
Anaeamini hivi anapoteza mda wake tu.
Mbinguni na bia wapi na wapi?Kama mbingun tu kuna bia za kila aina cha kusikitisha hazilewez asa
ngoja nife haraka nikagegede vya kutosha ,tena nyama kwa nyama hakuna cha zana
ngoja nimbeep Israel aharakishe hahahKila la keri mkuu. Lina utakufa sasa? Ili tuanze kukuonea wivu
Kile kitabu ambacho maandishi huanzia kulia kwenda kushoto husema kwamba wanaume washika kitabu hicho watapewa mabikra 72 huko! Wanawake walioko duniani sasa wao imekula kwao maana hakuna mwongozo kwa ajili yao huko akhera!Biblia inasema hilo halipo mkuu, sijui vitabu vingine vinasema vipi
Hivi Hanithi atapewa nini? Kama hapa duniani dushe limegoma kuweka gia vipi huko mbinguni akipewa hao 70 atawafanyaje??Wapo mabikira 70 mkuu. Tenda wema duniani, mbinguni ni kula bata tu.
Mungu atamponya. Akifika huko mnara full 6GHivi Hanithi atapewa nini? Kama hapa duniani dushe limegoma kuweka gia vipi huko mbinguni akipewa hao 70 atawafanyaje??