Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Asante mkuu..Biblia inasema hilo halipo mkuu, sijui vitabu vingine vinasema vipi
Matthew 22:30Asante mkuu..
Naomba kafungu mkuu nijisomee
Asante mkuu.Matthew 22:30
For in the resurrection they neither marry nor are given in marriage, but are like angels in heaven.; ipo mingine 100 kama hii.
Kwani tutakaa mbinguni siku zote mkuu?Pole mkuu, mbinguni ni kusifu na kuabudu tu.
Karibu;Asante mkuu.
Maswali mengine ni magumu kujibu mkuu siku ukifa nenda umuulize Mungu.Kwani tutakaa mbinguni siku zote mkuu?
Si dunia itabwa upya tena?
Aisee...Wapo mabikira 70 mkuu. Tenda wema duniani, mbinguni ni kula bata tu.
Naomba kafungu mkuuMaswali mengine ni magumu kujibu mkuu siku ukifa nenda umuulize Mungu.
Kamuuluze whozu alieimba huendi mbinguniUnajua samutaimu wapenzi wa duniani wanachanganya sana mpaka inafikia hatua unaona ni vizuri kutokuoa kabisa
Na pengine unakuta umezaliwa anithi( huna huwezo wa wa kuwa na mke na ukafanya naye tendo takatifu la ndoa) au ulipata ajali ukawa umepata matizo ya uzazi.
Yawezekana umeachika kwenye ndoa nyingi kisa hjna uwezo wa kushika mimba na kupata mtoto.
Hivi ikitokea nikaacha kuoa hapa duniani je huko mbinguni (kwa wengine peponi) au baada ya kiama kuna uwezekano wa kuoa tena?
Nisaidieni ili nifanye maamuzi.
ASANTENI
Ee!kufa kwanza then mambo mengne utajua pole pole mkuu
ngoja nife haraka nikagegede vya kutosha ,tena nyama kwa nyama hakuna cha zanaWapo mabikira 70 mkuu. Tenda wema duniani, mbinguni ni kula bata tu.