Msaada: HIV Non reactive

Mkuu upo kijiji gani wewe? kama upo karibu na kijiji cha kondoa irangi mjini dodoma nifahamishe hao wanaopima watakuwepo mpaka lini? kwani nina mteja wangu ana HIV Positive yupo huko kijijini kondoa ninataka akapime kwani nina mtibia sasa mwezi ni 3 na anaendelea vizuri kiafya. Sasa sijuwi hao wapimaji wa AMREF watapita huko kijijini kondoa irangi? Au hawapo sehemu hizo?
Hapana mkuu. Hii ni kanda ya ziwa
 
Maswala ya window period nayajua mkuu. Shida yangu sio kujua hayo. Nlitaka kujuankma Nn Reactive = Negative bhaaasiiii. Haijalishi ni negative au non reactive suala la window period liko pale pale kama umepata maambukizi ya karibuni. Otherwise asante kwa mchanganuo wako kiongozi
Jibu sahihi kitaalumu ni Non Reactive na siyo Negative. Hayo ni majibu mawili tofauti

Na ndiyo maana kwa majibu ya Non Reactive huwa tunakupa muda wa kurudi kupima tena
 
Jibu sahihi kitaalumu ni Non Reactive na siyo Negative. Hayo ni majibu mawili tofauti

Na ndiyo maana kwa majibu ya Non Reactive huwa tunakupa muda wa kurudi kupima tena
Sijapewa sasa mimi sasa hiyo siku ya kurudi tena. Na mara zote nikiambiwaga negative huwa napewa tarehe ya kurudi tena.

Kwa kuongezea,
1. nina rafiki yangu ambaye yeye ni lab technician katika hospital moja, nimemuuliza akaniambia Non Reactive haona uwalakini, ni moja kwa moja kwamba ni negative.

2. Nimecheki pia na doctor mmoja ni mwanangu sana na aliwahi kunishauri makubwa na ya siri zaidi ya haya, akaniambia the same thing na hawa ni watu wawili wasiojuana.

3. Washauri wengi wa hapa jamvini wanaoonekana wanajua wanachokisema kiutaalamu hawajasema kwamba Non Rwactive inahitaji kupima tena ku confirm, kwa maana nyingine ni HAKUNA MAABUKIZI kabisa!

4. Bwana google yupo mtumie tu. Ukigoogle na ukasoma results zote hakuna hata moja iayisea hivyo unavyosema wewe. Zote zinakwambia Non Reactive =Negative. Tena nyingine zimeeleza kabisa kwamba Non Reactive does not mean you need another confirmatory test, it means you are HIV Negative!

Sasa sijui wewe ni mwana afya wa wapi??? Hii Tanzania yetu sijui hawa wataalamu wa namna yako imewaokota wapi?? Nasisituza tena: hakuna ulazima wa kushauri jambo usilolieleza vizuri. Ni bora ukawa mtazamaji na we ujifunze kitu.

Hata uandike paragraph 100 zitakubali hicho unachokisema labda kama utabadilisha .

Hii haina maana kwamba sitaendelea kujikinga na maambukizi mapya, au sitapima tena after 3 months, ila ina maana kwamba Non Reactive ina implication sawa na Negative na wala sio hivyo unavyotaka kuniaminisha.
 
Tatizo lako unaongea sana halafu hata hujui unaongea nini zaidi ya kuanza dharau tu!

Wewe ndiye umetoa mada ya hiyo scenario na Mimi nimekujibu kitaalamu kulingana na hiyo scenario yako ilivyoitoa na hata hujui hao hatalaamu humo ndani walitumia nini ktk kufanya hiyo test ya sample ya damu yako.

Mimi bado nasimamia Maelezo niliyoyatoa hapo awali kuhusu majibu ya Non Reactive maana ni nini na ndiyo ulivyo na itabaki kuwa hivyo.

Sayansi hakuna malumbano ni facts tu! Vitu vidogo sana hivi ktk medicine
 
Hivi mkuu hivi vipimo haviuzwi kwenye mafamasi ikibidi mtu ujipime mwenyewe nyumbani?
 
Sijapewa sasa mimi sasa hiyo siku ya kurudi tena. Na mara zote nikiambiwaga negative huwa napewa tarehe ya kurudi tena.

Kwa kuongezea,
1. nina rafiki yangu ambaye yeye ni lab technician katika hospital moja, nimemuuliza akaniambia Non Reactive haona uwalakini, ni moja kwa moja kwamba ni negative.

2. Nimecheki pia na doctor mmoja ni mwanangu sana na aliwahi kunishauri makubwa na ya siri zaidi ya haya, akaniambia the same thing na hawa ni watu wawili wasiojuana.

3. Washauri wengi wa hapa jamvini wanaoonekana wanajua wanachokisema kiutaalamu hawajasema kwamba Non Rwactive inahitaji kupima tena ku confirm, kwa maana nyingine ni HAKUNA MAABUKIZI kabisa!

4. Bwana google yupo mtumie tu. Ukigoogle na ukasoma results zote hakuna hata moja iayisea hivyo unavyosema wewe. Zote zinakwambia Non Reactive =Negative. Tena nyingine zimeeleza kabisa kwamba Non Reactive does not mean you need another confirmatory test, it means you are HIV Negative!

Sasa sijui wewe ni mwana afya wa wapi??? Hii Tanzania yetu sijui hawa wataalamu wa namna yako imewaokota wapi?? Nasisituza tena: hakuna ulazima wa kushauri jambo usilolieleza vizuri. Ni bora ukawa mtazamaji na we ujifunze kitu.

Hata uandike paragraph 100 zitakubali hicho unachokisema labda kama utabadilisha .

Hii haina maana kwamba sitaendelea kujikinga na maambukizi mapya, au sitapima tena after 3 months, ila ina maana kwamba Non Reactive ina implication sawa na Negative na wala sio hivyo unavyotaka kuniaminisha.
HIV huwezi kupima mara moja ukawa na uhakika.

Kwa sababu ukipima mara baada ya kuipata, virusi havionekani.

Ndiyo maana unashauriwa baada ya kupima mara moja usubiri miezi mitatu upime tena.

Ushaelewa?
 
Hivi mkuu hivi vipimo haviuzwi kwenye mafamasi ikibidi mtu ujipime mwenyewe nyumbani?
Vinauzwa ktk private pharmacy lakini si rahisi sana kuuziwa kwa ajili ya kupiga nyumbani.

Kuna miongozo iliyowekwa kisheria ktk utekelezaji wa huduma ya VVU na Ukimwi
 
HIV Non Reactive kwa Maelezo haya nitakayotoa naomba uwe mpole na uyaelewe utaratibu na vizuri.

Tanzania kuhusu upimaji wa HIV huwa tunapima kitu kinaitwa Antibodies za HIV.Antibodies hizi huzalishwa taratibu sana Mara tu MTU anapopata maambukizi ya HIV.

Sasa Katika kipimo chetu cha HIV kama umeshazalisha antibodies za HIV then ukichukua damu ya mgonjwa ukaipima ita React na tunasema ime React Positive kwahiyo majibu huwa ni Reactive.

Sasa unaweza kuwa umepata HIV lakini mwili bado haujatengeneza antibodies za HIV yaani iko ktk kipindi cha Window Period..Hapa ukipima damu ya mgonjwa majibu yatakuwa Non Reactive lakini HIV unayo mpaka hapo utakapo tengeneza antibodies za HIV

Kwa wale ambao antibodies za HIV zimeshatengenezwa huyu akipimwa tu damu yake it's react na majibu yatakuwa Reactive.
Je, ni muda gani hasa hizo antibodies zinatengenezwa? Pia inawezekana mtu akaona dalili za HIV lkn antibodies zikawa bado hazijatengenezwa nahitaji ufafanuzi wa kina, Asanteh
 
Nyinyi huko muna raha munapima bure hayo magonjwa mimi huku Ughaibuni kupima ni kwa Pesa Dollar 500$ sawa na shilingi Milioni 1 na laki 1 mara ya mwisho nimepima mwaka 2011 na nikawa nipo HIV Negative Hepatitit B Virus, TB, Cancer, Tezi dume vyote hivyo vipo poa nitakwenda tena kupima baada ya kumalizika mwezi wa Ramadhani mwezi wa 7 mwaka huu. Laiti ningekuwa niko bongo ningekuwa ninapima kila baada ya miezi 6.
Nikweli kuwa kupima tezi dume ni mpaka uingiziwe kidole kwenye puru?
 
Habari za mida wadau,

Leo katika pitapita zangu huku kijijini nikakuta mahali AMREF wameweka mahema yao wanatoa huduma za kupima magonjwa kama HIV, TB, Cancer, tezi dume, n.k bure.

Kwa kuwa nlikiwa napanga several times kwenda mjini kupima ngoma nikaona bora nimalizie shida yangu ya kupima pale.

Sasa baada ya kutolewa damu nikaambiwa nisubiri nje kama dk. 5 then nitakuta majibu yako tayari.

Wakati nipo pale nje akatokea kijana mmoja mle ndani tayari amepima na kapewa kadi yake tayari na nikaona nyuma imeandikwa HIV neg na ameandikiwa tar ya kurud kupima tena. Nikamuuliza aliingia ndani pale muda gani akaniambia asa hivi tu na aliniona natoka mimi ndo akaingia.

Baada ya dakika 6 nikaenda tena ndani kwenye hema kufata majibu lakini hapo nishaanza kuwa na wasiwasi nikaanza kujiuliza kwa nini mimi nimeambiwa nisubiri dakika 5 wakati huyu bwa mdogo hakuchukua hata dk 3 katoka na majibu???

Nilipofika ndani yule mama mpimaji akaniambia majibu yangu ni mazuri sina maambukizi ya UKIMWI. Akanipa hii kadiView attachment 500744View attachment 500745View attachment 500745

Baada ya kuona hii kadi moyo wangu uliripuka kidogo. Kila nikipima sijawahi kuandikiwa hivi "Non Reactive" sasa iweje leo?? Nikatoka nikiwa na maswali mengi na nikiamini kuna kitu cha ziada hapa. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka labda huyu mama ananificha kitu ni hizi:

1. Kitendo cha kunisubirisha mimi nje muda mrefu wakat kuna mwingine amewahishwa (nahisi alikuwa anapanga anitoke vipi)
2. Kitendo cha yule mama kutaka kuninyima ile kadi yenye majibu. Baada ya kuniambia sijaathirika nilinyoosha mkono kuchukua ile kadi akaniambia hata nisipoichukua ile kadi niende zangu tu home niendelee na ishu zangu akiniambia eti ile kadi anapewa aliyeathirika ili aendelee kupima TB. Nikamwambia nataka nipime na TB maana huwa nina tendency ya kubanja sana sana nikiamka usingizini akajaribu kunidiscourage lakini nikakaza hadi akanipa ndo nikaondoka zangu.

Wakuu naombeni mniondolee utata hapa. Neno HIV Non Reactive lina maana gani katika HIV testing??

Mbarikiwe zana
Ninawasiwasi hujaandikiwa tarehe ya kurudi japo inajulikana ni 24/7/2017
 
Nikweli kuwa kupima tezi dume ni mpaka uingiziwe kidole kwenye puru?
Ndio kwani kuna ubaya gani Daktari kukuingiza huko kwenye maradhi yako? ukiumwa ukiwa wewe ni Mwanamme unaweza kumuonyesha Dushelele lako Daktari Mwanamke. Na ukiwa wewe ni Mwanamke una umwa unaweza kumuonyesha papuchi yako Daktari Mwanamme ni vitu vya kawaida tu. Uki umwa huna aibu kuonyesha tupu yako.
 
Vipi kuhusu kupewa majibu kwa mdomo kuwa hujaathirika ni sahihi au unakuwa umefichwa ukweli?
 
HIV huwezi kupima mara moja ukawa na uhakika.

Kwa sababu ukipima mara baada ya kuipata, virusi havionekani.

Ndiyo maana unashauriwa baada ya kupima mara moja usubiri miezi mitatu upime tena.

Ushaelewa?
Boss hilo linaeleweka. Kuna window period virus wanakuwa hawajaweza kuwa detected. Mimi swali langu halikuwa hilo mkuu, nilitaka kujua tu maana ya non reactive. Ndo maana nikasema hii haimaanishi kuwa sitapima tena aftr 3 months ila nataja kujua non-reactive ilimaanisha nini bhaaaasiii! Nadhani umenielewa chieg
 
Naam.

Kwenye non-reactive tumejibu kwa mfano wa litmus test.
 
Maana yake una ukimwi lakini ukimwi wako uko domant na umejificha sana
 
Boss nashani umeshauri jambo usilokuwa na elimu nalo kulitaalamu. Naoa unatumia unayoyawaza wewe. Pole ya nini? Mi nia HIV?? Non reactive means Negative. Mtumie hata gpogle akusaidie sio kupanikisha watu
Sasa kama ulikuwa unaju maana ya ''Non reactive'' kwa nini umeleta hoja huku? Umeleta ili kujaza space JF, au kumaliza MB zetu.

Pole ni kwa ajili ya stress uliyoipata.
Pole tena Mkuu.
 
HIV huwezi kupima mara moja ukawa na uhakika.

Kwa sababu ukipima mara baada ya kuipata, virusi havionekani.

Ndiyo maana unashauriwa baada ya kupima mara moja usubiri miezi mitatu upime tena.

Ushaelewa?
Jaman h.I.v hajawai kuonekana tang dunia ilivyoubwa
 
Back
Top Bottom