mzee wa misele
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 366
- 46
Ki vipi mkuuKweli vyuo vimeshafunguliwa maana tabia za kukaa vikundi ni ya vyuo
sasa dogo unatakiwa uwe na ujasiri wa kumchomoa kwa rafiki zake hapo ni nafasi kubwa ya kumpata
wanawake wanapenda wanaume majasiri
Wakuu habari zenu, kuna tatizo linanisumbua kwa wadada linalosabisha kuumia na kukosa mwanamke wakuwa nae kuna mdada nimetokea kuvutiwa nae lakini kila nikipanga kufuata nikiona yuko na marafiki zake nashindwa kumfuata wakuu nitumie mbinu gani nimpate nimeshindwa kwa sababu mud a mwingi anakuwa na marafiki zake nisaidie mawazo wakuu nampenda sana
swali lako ni la kitoto nenda shule ukikuwa utajua kutongoza
Nipe pesa nikushauri
Sijauliza swali nimeomba msaada kama huna ushauri shut up your mouse
Hili nalo PIA jaman!!
Sijauliza swali nimeomba msaada kama huna ushauri shut up your mouse
Utoto! Balehe ya kwanza hiyo.!
Mouse
Mouse
Mouse