I igihumbi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 578 Reaction score 575 May 4, 2018 #1 habari za kutwa wana jamvi.? Natumia tablet ya techno DP7CPRO ina ram ya gb 1 na ila huwa haipiti wiki inadai ni update application nisipo update zinagoma kabisa kufunguka hadi niflash cm je tatizo ni nini chanzo?
habari za kutwa wana jamvi.? Natumia tablet ya techno DP7CPRO ina ram ya gb 1 na ila huwa haipiti wiki inadai ni update application nisipo update zinagoma kabisa kufunguka hadi niflash cm je tatizo ni nini chanzo?
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 May 5, 2018 #2 Ngoja waje wakali wa tecno mkuu