Msaada: Hii ni original Samsung galaxy j7 prime?

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Habari sana Jamie forum . Chief_ mkwawa naomba Msaada nimenunua simu samsung galax j7 prime, mbona haina feature za samsung. Japo iko vizuri mtandao, camera, lakini ni nzito tofauti na Samsung nnazozijua, haina ule mstari wa kijani unatokeaga juu na sio amolled , kwa ujumla iko tofauti na nomads by Vietnam labda unaweza kunisaidia chochote kabla sijairudisha.
 
Nikipiga ikitokea hivo
 
Najua samsung original inatokea hivo unapopiga sasa hiyo imetofautiana kabisa japo ikovizuri kwenye kila kitu isipokuwa sitaki tena kubeba simu feki
 
Jaman naomba mwenyewe kujua maana nimenunua lakini 6 kwa kujichangachanga sana
 
Nimetoa zote niangalizien kama ni original roho itulie kama ni feki asubuhi nafungua duka ananikuta nje
 
Sasa mngenielewesha ingekuwa vizuri maana anaweza kuniuliza uko copy wake uko wapi nikakosa majibu
 
Jaman naombeni mnieleweshe inakuwaje ilinikifika nimueleweshe maana hataamini
 
download app ya cpu z playstore kisha ifungue angalia soc yake ni ipi? ikiwezekana tuma screenshot hapa.
 
Niko hapa tunabishana wanasema hii ni original sema anasema ni made by vietnum
 
Nimescreen shot mkuu hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…