Vangiporini
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 328
- 316
wakuu kila niki log in kwenye acc yang heslb napata ujumbe huo,mwenye idea na hili tatizo msaada pllllz
thanx mkuu am done!hilo ni tatizo la mtandao wenyewe wa HESLB kuwa very busy! jinsi ya kusolve ni kujaribu as many times as you can!!!
thanx mkuu it worked!Unaweza pia kuwa mvumilivu,malizia maelezo hayo hadi mwisho yanakutaka usubir kidogo na ubofye mara moja tu na c vingnevyo,i did that to my young brother last week na nikafanikiwa!