Msaada: (HESLB 25%) walioacha chuo na kujiunga na chuo kingine

Mkuu kuwa mvumilivu, maofisini kunakuwa na itifaki za kiofisi.... Mafaili ya wahusika huwa yanashughulikiwa kutoka ofisi au idara moja kwenda nyingine sasa kuwa mpole pesa zitatoka tu siku si nyingi.
 
Back
Top Bottom