Full charge JF-Expert Member Joined Mar 1, 2018 Posts 1,711 Reaction score 1,663 Mar 9, 2021 Thread starter #21 Carlos The Jackal said: Anatumia njia gan ya uzazi?... Click to expand... Asant yan duh!!
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,096 Reaction score 22,826 Mar 10, 2021 #22 mnyamamkalisana said: Natumai mu wazima, Mpenzi wangu akiingia kwenye mzunguko wa hedhi anatokwa damu nyingi sana hadi hufikia mpaka kuongezewa damu. Hali hii ikianza yaweza kuchukua hadi wiki 3 bila kukata, nampenda sana japo hashiki mimba.... Click to expand... Muulize kabla ya kuwa na wewe amekuwa akitumia vidonge vya uzazi.....?! Sent using Jamii Forums mobile app
mnyamamkalisana said: Natumai mu wazima, Mpenzi wangu akiingia kwenye mzunguko wa hedhi anatokwa damu nyingi sana hadi hufikia mpaka kuongezewa damu. Hali hii ikianza yaweza kuchukua hadi wiki 3 bila kukata, nampenda sana japo hashiki mimba.... Click to expand... Muulize kabla ya kuwa na wewe amekuwa akitumia vidonge vya uzazi.....?! Sent using Jamii Forums mobile app
Quetzal JF-Expert Member Joined Dec 9, 2018 Posts 6,412 Reaction score 10,924 Mar 10, 2021 #23 Poleni kamuone Gynacologist mbobezi