Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,711
- 1,663
Mpenz mkuuNi mpenzi ama mke
Amna mkuuanatumia uzazi wa mpango wowote?? umpeleka hospital??
Asant ila vp kabla siwez kupata japo tips kadhaa nkapata idea kdgo kabla ya kwenda hosptAende hosp akafanye Ultrasound...Inawezekana akawa na Fibroids.
Ok tigo itaacha.Naomba msaada mkuuTigo tunakidai, alaf unatuibia sana sikuizi
Tatizo linaitwa HaemophiliaOk tigo itaacha.Naomba msaada mkuu
Natumai mu wazima....
Mimi nilliambiwa sijui inaitwa Polystitic ovarian Syndrome(kama sikosei)...huku hutapata majibu, nenda kwa mtaalamu wa magonjwa ya wanawake
Asante ndugu.Pole ndugu,
Mambo matatu naweza kuyahusisha na tatizo analolipata mwenzio:
1: Inaweza kuwa ni mfumo wa vichocheo vya mwli/hormones haujakaa sawa...
Asant mkuuTatizo linaitwa Haemophilia
Haemophilia is a mostly inherited genetic disorder that impairs the body's ability to make blood clots, a process needed to stop bleeding. This results in people bleeding for a longer time after an injury, easy bruising, and an increased risk of bleeding inside joints or the brain
Mpeleke hospital haraka
Anatumia njia gan ya uzazi?Natumai mu wazima,
Mpenzi wangu akiingia kwenye mzunguko wa hedhi anatokwa damu nyingi sana hadi hufikia mpaka kuongezewa damu. Hali hii ikianza yaweza kuchukua hadi wiki 3 bila kukata, nampenda sana japo hashiki mimba.
Watalaamu nisaidie nini tatizo la hicho kitu pia nini kifanyike ili awe kawaida.
Asante.