Msaada! Hdmi port ya pc yangu imegoma kufanya kazi..

Emmado

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
209
215
Naombeni msaada laptop yangu aina ya COMPAQ presario CQ 50.. port yake ya HDMI haifanyi kazi ghafla tu baada ya kubadili window toka window 7 ultimate kwenda window 7. Nimejaribu kurudisha window yake ya zamani yan?(window 7 ultimate) lakini bado tatizo lipo pale pale... nikajua labda ni tv ndio imeleta shida nikaenda kujaribu kwenye TV nyingine tatizo likabaki pale pale...! Naomba msaada wenu wataalam!

 
Back
Top Bottom