Msaada haya ni madini gani?

kalimanzilajuma

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
323
314
e79e1791f32e096b256376b8f8ec058e.jpg
 
Picha ya kwanza yanaonekana kama madini Aina chrysoprase yanapatikana dodoma sehemu za anetti ktk milima ya yobwe....
Picha ya pili hayo ni miamba tu inayopatikana kwenye maeneo yenye madini

Ova
 
Mh........umeyatoa wapi..?? Yakupigia ndege hayo hayana mchongo japo sijayashika mkononi
 
Back
Top Bottom