Msaada:Hatari Hatari Hatari Mbele ya Safari(part 3)

yorkshire

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
2,532
Reaction score
3,177
ni tukio la kweli na siyo stori ya kutunga kama watu wengine wanavyocomment kifupi acha niimalizie ili unisaidie kimawazo

part 2 imeishia paleeeeee....kifupi ilikuwa raha sana kwetu sote mpaka tunamaliza vita ilikuwa saa kumi jioni tulioga na mtoto wa watu alirudi kwao na home kwao waliamini ametoka kazini maana muda huo ndo ulikuwa muda wa kutoka kazini

Alifika salama nyumbani siku hiyo na hapakuwa na shida yeyote kwao zaidi alinipa pongezi nyingi sana maana alinieleza siku hiyo alifika climax 7 times .Basi tuliongea mengi sana ikiwa ni pamoja na kutunza siri kazini ili wasigundue kama tuna mahusiano na kile kiporo cha kwenda kupima

Tulikaa muda kama wa wiki moja hivi kisha tukajipanga kwa ajili ya siku ya kwenda kupima ingawa ilikuwa ni changamoto kubwa sana kwangu. Tulienda kupima na tunashukuru Mungu hatukuwa na maambukizi wala maradhi yeyote.Tulifurahi sana wote wawili na baby akanipangia siku ya kukutana tena ili nikale mzigo kwa nafasi ya kutosha zaidi.

Sasa hapa wakuu ndio hatari inapoanzia.

Niliitilia maaanani sana hiyo siku niyoahidiwa na mpenzi wangu nilianza kujipanga kisaikolojia jinsi ya kuongeza mashambulizi na mapya zaidi ili kuiteka ngome ya akili ya huyu binti. Siku ilipofika niliamka saa kumi za usiku na kuanza kujiandaa kwa ajili ya pambano jingine japo hata sikupata usingizi wa maana usiku huo kutokana na kulipania sana.Nilioga na kuvaa vizuri kisha ilipofika saa kumi na mbili asubuhi nilitoka kuelekea eneo la mapigano nikakuta bado wamefunga nikawagongea sana mpaka wakafungua maana mtoto wa watu hatakiwi aonekane maeneo kama yale.

Nililipia room na nikaingia ndani kisha nikaanza kumcall baby wangu simu ilikuwa ikiita tu bila kupokelewa na tayari ilikuwa imeshafika saa moja asubuhi.Baadae kwenye mida ya saa moja na nusu nikaona text yake kwenye simu yangu akiwa ameandika hivi "nipo njiani nakuja baby" .Basi nilirurahi sana maana niliona kama pesa yangu inataka kupotea bure kwa huduma niliyolipia.Alipokuja akanieleza mkasa wa kuchelewa kufika kumbe alivyokuwa home kwao alikuwa anasoma mwelekeo wa baba yake anakwenda wapi. Hii ni baada ya yeye (binti) kumuona baba yake ameingia ndani ya gari yake na binti akawa amesikia mazungumzo ya mzee akiongea na mtu kwenye simu yake kuwa huyo mtu anaeongea naye amsubiri "kwa morombo " wakati huo huo vita yetu nayo inatakiwa ifanyikie Kwa Morombo pia.

Hivyo akachekecha akili hivyo akaamua badala ya kupanda public transport akachukua boda boda fasta kuepuka mzee kumuona .Basi baada ya kunipa maelezo yale tukaanza mambo mengine nakumbuka siku hiyo kichwa kilikuwa kinaniuma sana labda kwa sababu ya kutolala vizuri usiku wa kuamkia fighting.

Nilijikaza hivyo hivyo nikamuandaa vizuri kama kawaida kisha nikapnda na alikuwa na mzuka sana siku hiyo. Cha ajabu nilicheza shoo ya hovyo sana siku hiyo kiasi kwamba mimi mwenyewe nilifadhaika sana na hata aliishia round moja tu kutoka 7 alizozoea .

Sasa toka nivurunde mechi ile mpenzi wangu ananiuliza maswali mengi sana japo ananipensa sana na hajawahi kunionyesha dharau yeyote ile ila nawaza nilivyotoka knock out na tayari nimeashaanza kuwa na woga fulani itakuwaje kosa likijirudia na mtoto ni mzuri kinyama mpaka majamaaa kazini wananionea gere, wameshajua maana mtoto hajifichi fichi tena yaani wanahisi tuna mahusiano kutokana na binti kunifuata mara kwa mara na kukaa nami tuongee kila wasaa unapopatikana (nahisi nabebwa na rekodi ya kwnza huyu mtoto kuwa karibu nami)

Jambo lingine kama nilivyosema mwanzoni kuwa kazini washaanza kuhisi tunagegedana sasa maana wameanza kuhusisha matukio ya nyuma siku ambazo mimi sikuwepo na binti hakuwepo kazini sasa nafasi ya kumpata huyu mpenzi wangu nayo itakuwa ngumu maana ili nimpate lazima aage anaenda kazini vinginevyo siku za weekend ni ngumu kutoka sana kutokana na msingi wa maadili home kwao.Hivyo mimi kuonana naye ni J3 to Friday (friday mwisho sa sita mchana).Na endpo atapata kuwashawishi wazazi wake basi hupewa muda wa masaa, 3 tu awe amesharudi home na mimi na yeye tushazoea from morning to evening.

La mwisho mwezi ujao oktoba anaingia chuo japo ni hapa hapa arusha (sitakitaja) aliniambia hataki kwenda mbali ili kutonipoteza pia tushapanga kuoana ingawa safari ni ndefu lolote laweza kutokea na mbaya zaidi ni bora kama angekuwa anaenda chuo na kurudi home bali anataka aishi hosteli.

Nawasilisha wakuu.



.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…