MSAADA HAPA

DavidHard

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
435
274
Jamani kama mtu yeyote aliyeomba diploma ya ualimu.(higher diploma )je unaomba kama university yaani mpaka uchague vyuo zaidi ya viwili.ama unachagua kimoja tu.nisaidie kwa anayejua.nataka nimwombee ndugu yangu hapa.
 
asante wakuu..ila vyuo naona vimejaa karibua vyote nimepata chuo kimoja tu cha KLRUU Iringa.kama kuna mtu anajua chuo ambacho akijajaa chochote kinachotoa higher diploma. anisaidie kunitajia hata jina.nimeenda nacte naona kama vyuo vyote vimejaa
 
Back
Top Bottom