MSAADA: Gypsum Board za Thailand - kwa DSM

Astrid

Member
Joined
Dec 4, 2023
Posts
58
Reaction score
124
Wakubwa poleni na majukumu.
Naomba kwa anayefahamu hizi Gypsum Board za Thailand .......maarufu kama Double Elepahant, ZINAPATIKANA SEHEMU GANI KWA HAPA MJINI DSM? Hasa kwa yale maduka makubwa ya Hardware?

Namaanisha maduka makubwa ya hardware yanayoweza kuwa na Gypsum board imara na zenye ubora mzuri tofauti na hizi za mitaani za sh. elfu 15, au 16.

Naomba msaada kwa anayejua kuhusu hilo.

ASANTENI SANA.
 
KAMAKA
 
Watafute Hawa import international (T) Ltd
Wapo vertinary pale kama unatokea Tazara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…