Msaada Guest house nzuri Morogoro.

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,020
Habari,
Nina safari ya siku mbili morogoro mjini,
Naomba kufahamishwa guest house nzuri mjini moro..
Iwe na usafi wa hali ya juu,
Iwe self contained,
Iwe na AC
Ulinzi na usalama wa uhakika,
Inafikika kwa wepesi.
Budget yangu haizidi elfu 30/kwa usiku mmoja.
Karibuni wenyeji.
 
Vyuma vimekaza mwenzetu unawaza gesti.
 
Nenda sabssaba karbu na msikiti wa maita 12000! Nzur kinoma
 
California Kihonda Magorofan self container 15000/= Ulinz n wa uhakika
 
Tex Palace
Ipo mjini kati
Ina bar nzuri

 
Nenda sweet Africa Nyuma ya Msamvu.. elfu 25
hutajutia mkuu.. Usafi na utulivu wa hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…