BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,010 Nov 29, 2012 #1 jamani naomba msaada wa file la lenye lugha la english(gta iv,common,text) kwani la kwangu iko lugha moja tu ambayo ni russia......ambachao hata kukijua sikijui msaada. thanks in advance
jamani naomba msaada wa file la lenye lugha la english(gta iv,common,text) kwani la kwangu iko lugha moja tu ambayo ni russia......ambachao hata kukijua sikijui msaada. thanks in advance
Isaac Chikoma JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 475 Reaction score 101 Nov 29, 2012 #2 nafkiri unaweza lipata online ukilisearch.