neverthatserious
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 106
- 13
habari wana jamvi,natumia samsung galaxy S3 mini
inakataa kufungua play store na hua ikiload baada ya muda inaandika 'conection time out'
naomba msaada kwa anayeweza tatua hili tatizo...natanguliza shukrani