Tish JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 360 Reaction score 209 Mar 13, 2018 #1 Niki download app inachukua mda mrefu ili hali imefika 100%
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,278 Reaction score 44,414 Mar 13, 2018 #2 hujajaza ma ant virusi humo kwenye simu yako? maana kuna simu app haiwezi ku install mpaka ichekiwe na ma app ya ajabu ajabu.
hujajaza ma ant virusi humo kwenye simu yako? maana kuna simu app haiwezi ku install mpaka ichekiwe na ma app ya ajabu ajabu.
Tish JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 360 Reaction score 209 Mar 13, 2018 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: hujajaza ma ant virusi humo kwenye simu yako? maana kuna simu app haiwezi ku install mpaka ichekiwe na ma app ya ajabu ajabu. Click to expand... Hapana mkuu situmii hizo ant virus lakini tatizo bado lipo nimejaribu ku unstall play store lakini bado.Pia nilikuwa na mpango nikiuza hii cm nichukue xiaomi mi a1 je ni nzuri na bei yake ikoje
Chief-Mkwawa said: hujajaza ma ant virusi humo kwenye simu yako? maana kuna simu app haiwezi ku install mpaka ichekiwe na ma app ya ajabu ajabu. Click to expand... Hapana mkuu situmii hizo ant virus lakini tatizo bado lipo nimejaribu ku unstall play store lakini bado.Pia nilikuwa na mpango nikiuza hii cm nichukue xiaomi mi a1 je ni nzuri na bei yake ikoje