Naikumbuka yan naijaza kwa email au namba ya cm jibu ni moja tu mbaya zaid mata ya mwisho nilikuwa naitumix kwenye cm mwez wa 3 nkachange cmWamesema apo " try using your email address instead "
Kama unaikumbuka email yako jaza hapo
Mbaya zaid nmejaribu kuforget password wanaandika ivoWamesema apo " try using your email address instead "
Kama unaikumbuka email yako jaza hapo
Gmail nmeutumia tooea 2013 bila kusahau passwordWamesema apo " try using your email address instead "
Kama unaikumbuka email yako jaza hapo