Msaada: Gono isiyopona kikamilifu

umenikumbusha nina mbwa wangu wa ulinzi alitoroka wakati geti lipo wazi kapata gono ila siku tambua mda mrefu mpaka dalili zilipofikia kutoa uchafu sehemu za siri.nimepiga sindano mpaka nimekata tamaa .ila steji ilipofika ni bahati nasibu
 
Ha ha once kitombile always kitombile [emoji3][emoji3]
 
gonoria ni dalili kubwa ya maambukizi ya virusi vya ukimwi.
tafadhali kesho njoo hospitali upime na upate ushauri nasaa.

vijana kwa wasichana acheni ngono mtakwisha na kudhoofika kwa maradhi.
starehe ya dk.5 au 10 utajutia maisha yako yote.
Dr uchwara
Mpiga dili tunakujua
Ngoja ninyamaze

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ha ha once kitombile always kitombile [emoji3][emoji3]
Yes mkuu hawaachi wataumwa magonjwa ya ajabu ila kuacha kwao ni kitu kigumu, mbaya ni mwajiriwa wa Serikalini na ameoa ila mkewe ni mvumilivu sijapata kuona dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…