Wadau niaje, ebhana nashindwa kitu kimoja, kila nikijaribu kupata huduma ya Go Live kwa TCL inagoma. Inaishia kuniambia kuwa Network unavailable, wakati huo huo nikiwa kwa Youtube au social apps inakubali, msaada tafadhali
Go Live ni huduma inayopatikana kwenye Smart Tv, ambayo imekudanya channels na kuziweka pamoja, ili uweze kucheki lazima uwe kwa internet, sasa kwangu inazingua, sijui shida ni ipi