Msaada Gmail SMS kwenda kwenye sim

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,400
Nilikuwa nikituma SMS kwa Gmail (comp.)kutuma kwenda kwenye sim za mkononi kwenye mitandao ya Vodacom na Tigo,wiki ya pili sasa kila nikituma sms haziwafikii au wao wakinitumia hazinifikii shida ni nini wakubwa au nirekebishe nini kwenye Gmail settting?
 
Back
Top Bottom