Msaada: gharama za uchimbaji wa kisima cha maji

Msaada: gharama za uchimbaji wa kisima cha maji

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nina mpango wa kuchimba kisima cha maji Dodoma nje kidogo ya mji.

Naomba kujuzwa gharama za awali, za uchimbaji, na kampuni nzuri ya uchimbaji mkoani dodoma,.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom