Msaada gharama za kubadili matumizi ya Ardhi

Msaada gharama za kubadili matumizi ya Ardhi

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,866
Reaction score
1,943
Habari wadau,
natumaini humu kuna wakuu wa fani Mbali mbali wanaoweza kunisaidia katika suala la Ardhi.
Niko Mkoani,Nimeenda Halmashauri ya Mji A.
Nimepeleka Maombi ya Kubadilishiwa Matumizi Wamenipa Gharama kubwa mnoo hadi nimeshangaa!
Naombeni Msaada kujua niendeNikalalamike wapi
Nime aa atch mchanguo wai
IMG_1578.jpg
 
Nimeambiwa nitume kwenye Account fulani!
Daa sasa najiuliza hizo hela na Siku!
na Mzazi Mwenyewe Alishastaafu Miaka 15Iliopita.Ni Mzazi na kutokana na Umri wake kutembea pia ni Issue!
mimi Niko Dar,
yaani ningekuwa mkoani labda ningemfuata huyo Mkuu wa Kitengo cha Ardhi aliemuandikia
yaani Baba Amenipigia simu na kunitumis whatsaap!
Nimehuzunika sanaa aisee
 
Back
Top Bottom