msaada gharama za hostel udsm.........

jon billz jr

Member
Sep 20, 2012
8
1
jmn wandugu nahitaj msaada wa gharama za hostel main campus n sh ngap kwa semester na mabibo napo ni sh ngap kwa semester.......kwa wana udsm na wasio wa udsm jmn yyt anaejua
 
Kaka kwa main campus ni sh 800 per day
na mabibo ni sh 500 per day
NB: washapanga tayar majna ya accomadation xo jicheki ili ujue umepata wapi
 
kwa siku ngapi jumla yaani semester ni muda gani?
SEMISTER INA WIKI KUMI NA SABA 17 WIKI INA SIKU SABA 7 KWA HIVYO BASI
17X7 X800=95200/= ukipata room main campus
17X7 X500=59500/= ukipata room mabibo
KUNA FEDHA YA TAHADHARI HII INALIPA MARA MOJA KIPINDI NASOMA ILIKUWA ELFU KUMI TU. 10000/= INALIPWA MARA MOJA TU SO UKIBAHATKA KUPATA CHUMBA UTALIPA JUMLA YA HIIYO PLUS HELA YA TAHADHARI .
tofauti ya bei hii imebased kwa sababu ya location ya hizi hosteli hosteli za mabibo ziko nje ya main campus so lazima usafiri kidogo KWA SHUTTLE /MABASI YA NAYOTUMIKA KUSAFIRISHA WANAFUNZI BEI YAKE MARA NYINGI ULINGANA BEI ZA KAWAIDA ZA DALADALA -(300-350/=)
ANGALIZO HASA KWA NYIE WA MLIMANI NILIKO NA UZOEFU KIDOGO KUNA UHABA HOSTELI SASA UNAWEZA UKAKOSA PIA USIPANIC KUNA KUBEBANA /KUSHEA ROOM KITANDA HIYO IPO SANA HAPO SO USISHANGAE KUFUATWA HASA NA CONTINUE STUDENTS NA KAMA UNAWEZA MSAIDIE TU ILA UWE UNAMFAHAMU MAANA NA WEWE ZAMU YAKO ITAFUATA MWAKANI UNAWEZA UKAKOSA

NAJUA MKISHA INGIA CHUO MTAKUJA NA THREAD ZA KATI YA MABIBO NA CAMOUS KUPI BORA
USAHURI KWA YEYOTE ATAYE ONA HII COMMENTS TULIA SOMA... MAHALA POPOTE UTAKAPOPANGIWA HOSTELI IWE MABIBO AU CAMPUS UTASOMA UTAFAULU NIMEKAA HOSTELI ZOTE MBILI MIAKA MIWILI MIWILI NAZIJUA VYEMA..
 
Kaka kwa main campus ni sh 800 per day
na mabibo ni sh 500 per day
NB: washapanga tayar majna ya accomadation xo jicheki ili ujue umepata wapi

Hey mkuu hayo majina ya accomodation walioyapanga uko UDSM unayachekia wapi? Msaada please
 
Unaporipoti ukishalipia chumba watakupa room mana majina wamepanga,nimepata tarifa kutoka MUCE Kua bei imepanda,sina tarifa za DUCE NA MC,ila ninachojua ukichelewa kuripoti tar1 hawakupi room,maelezo zaidi fika MC Maelekezo yote utapata kwenye join intruct
 
kaka nimekusoma,ila unamaanisha naweza kwenda kabla ya tarehe 1!na hyo hela imenda imefika kiasi gani mkubwa?tusaidie coz hatuelewi chochote
 
kaka nimekusoma,ila unamaanisha naweza kwenda kabla ya tarehe 1!na hyo hela imenda imefika kiasi gani mkubwa?tusaidie coz hatuelewi chochote
Hebu acheni uzembe. Si mpige simu chuo au nenda kapate habari za uhakika hukohuko chuoni kuliko kusumbua watu. Mwenzeni kawafahamisheni anayoyafahamu bado mnaendelea mara hiki mara hiki. Hebu changamsheni akili. Kuna internet mnaweza pata maelezo kwenye prospectus. Msiwe wavivu kusumbuka ndio maisha kwanza yanaanza.
 
Dogo ni kua Bei za MUCE,MC,DUCE Si sawa,watu wa MC,Mabibo walikua wanalipa40,000 Na10elfu ya tahadhari,wakati MUCE ilikua 60kwa nusu semista,kwa mwaka120000,Ila bei mpya MUCE NI180,000Kwa mwaka,Kachukue join instruction mda wowote uende na kitambulisho uta
 
eti mkuu na MUCE Wanatoa list ya majina ya watakaokaa hostel?
 
Ni kua Muce majina yamepangwa mda kwa computer,ukichelewa kuripoti wanampa mwingine,cha msingi kuwahi Campus uliyopangiwa
 
Back
Top Bottom