Msaada: Gharama za chuo cha udereva

kevoo 27

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
405
383
Kijana anataka kusomea fani ya ualimu wa kufundisha kwenye vyuo vya udereva wa magari.
Je ualimu huo hutolewa na chuo gani Tanzania?
Gharama yake ni bei gani?
Mafunzo yanatolewa kwa muda gani?
Vigezo vya kujiunga vikoje?
Kwa aliesomea udereva chuo chochote kilichosajiriwa na VETA nadhani amenielewa
 
Yaani habari haijachakatwa vizuri.Iweke vizuri ndugu tujue wapi tusaidiane.Sote ni watanzania kama haitoshi sisi sote ni binadamu
 
Back
Top Bottom