Msaada geomatic na geoinformatic

Msaada geomatic na geoinformatic

Hamidkh

Member
Joined
Sep 23, 2017
Posts
9
Reaction score
2
Jamani mm nimpya ktk JF lkn naomb kuuliz ukwel kuhusu course ya geomatic na geoinformation zote ni ardhi....je zimetofautian nin na ni IPI nzur
Asanteni
 
Hivi humu hamna wasomi Mbina mada za elimu wachangiaji wachache tena tumaelezo kiduchu
 
Jamani mm nimpya ktk JF lkn naomb kuuliz ukwel kuhusu course ya geomatic na geoinformation zote ni ardhi....je zimetofautian nin na ni IPI nzur
Asanteni
 
Attachments

  • GM-GI.PNG
    GM-GI.PNG
    13.6 KB · Views: 177
Mkuu naon ww ni mzoef wa hz course KT ya hz mbil ni IPI bor zaid
 
You mean inadeal na upimaj t pekee
ina shughuli nyingi ila main ndo hyo kama unavojua civil engineer n mjenzi.......ila wanahusika na kuchukua points za viwanja yaani levels .....kujua coordinates yaan inshort kama umesoma survey ya geograph masuala ya theodalite ndo mambo yao
 
Jamani mm nimpya ktk JF lkn naomb kuuliz ukwel kuhusu course ya geomatic na geoinformation zote ni ardhi....je zimetofautian nin na ni IPI nzur
Asanteni

Geomatics ni jina jipya la kozi zamani ikijulikana kama Land Survey (Masorovea, wapima viwanja, a.k.a Wasaka Nyoka a.k.a Giants). Kwenye kozi hii utajifunza kuipima dunia kwa usahihi mkubwa sana. Mienenodo ya mabara, na makorokocho mengine ya dunia,, japo kwa milimita kadhaa kwa muda fulani mrefu. Kupima barabara, ardhi (viwanja), mambo ya migodini, na ujenzi wa majengo na structure nyingine mbalimbali, kwa usahihi mkubwa sana. Yaani mpaka kiwango cha milimita usahihi kwenye kupima makilomita ya barabara au mahektari ya ardhi. Kozi hii uwe "mzima" kwenye hesabu na fizikia. Ni nzuri sana kwa kjiajiri na kwa kuajiriwa.

Geoinformatics ni kozi mpya iliyotokana na usorovea. Kwenye kozi hii, taarifa kuhusu dunia zinakusanywa, kuchakatwa na kuwasilishwa. Hii kozi iko njia panda kati ya Usorovea na Sayansi ya Kompyuta. Ni mchanganyiko mahususi wa sanaa na sayansi. Kwa ufafanuzi zaidi, angalia maelezo ya diploma yake:

Mamtoni Bongo: Diploma in Geoinformatics
 
Umemaliza kamanda
 
Mkuu geomatics unaweza jiajiri vipi....?
 
Geomatician kwa maana ya land surveyor unaweza jiajiri kwa kufanya kaz kama surveyor binafsi na sio wa serikal km wale wa halmashaur, ukiwa na mtaj mkubwa wa kuweza miliki vifaa vya upimaji itakua vzur ila ukishindwa vifaa hua vinakodishwa. Unakod na kufanya kaz zako vzur
Lakini mkuu hii inalipa vizuri kama kozi nyingine za engineering au ndo pesa za msimu na kubahatisha bahatisha...????
 
geomatic INA deal hasa kwenye measurement kama kusoma level za ardhi,coordinate za sehemu,kusoma angles na nk,but Geoinformation hii INA deal na accumulation of all geographic information
 
Sikushauri usome hata moja hapo mkuu...changamoto ni kubwa kama unawwza soma civil au quantity survey broooo...huo ushauri Wangu mengine search
 
Back
Top Bottom