Spark plugs hazina uhusiano wowote na transmission. Kama tatizo lako lilikuwa solved kwa kubadili spark plugs tu basi bado huenda alternator yako haina nguvu za kutosha na zile spark plugs ulizokuwa unatumia zilikuwa zinakula umeme mwingi sana kusababisha transmission isipate umeme wa kutosha kufungua solenoids zakeKama ni dualis ni plug mkuu. Unaweza kudhani gearbox imebuma gear zinaslip.
Mimi nimebadili plugs zaidi ya mara 4 inatulia siku 2 au 3 inaanza upya. Hadi mwisho fundi akasema hii si plug ni gearbox ya kushusha nunua nyingine. Mbaya zaidi unakuta sometimes hata haisomi error yoyote kwenye mashine.
Juzi jitu kaniwekea plug og, tatizo kwisha hadi sasa nasikilizia ipite week maana zile za mwanzo zilikuwa kumbe sizake ikichoka tu ndani ya siku mbili tatizo larudi
Naelewa kuwa hakuna uhusiano kati ya plug na transmission. Ila the way ilivyokuwa ina behave kule kushutuka ungedhani kama gear zinaruka ruka vile ikiwa speed ndogo tena kuna muda si kwamba inashtuka mara moja ni mwendelezo hadi ukanyage mafuta mengi izidi speed 60.Spark plugs hazina uhusiano wowote na transmission. Kama tatizo lako lilikuwa solved kwa kubadili spark plugs tu basi bado huenda alternator yako haina nguvu za kutosha na zile spark plugs ulizokuwa unatumia zilikuwa zinakula umeme mwingi sana kusababisha transmission isipate umeme wa kutosha kufungua solenoids zake
I have the same issue with my Nissan, nafanya mchakato nimuone JituNaelewa kuwa hakuna uhusiano kati ya plug na transmission. Ila the way ilivyokuwa ina behave kule kushutuka ungedhani kama gear zinaruka ruka vile ikiwa speed ndogo tena kuna muda si kwamba inashtuka mara moja ni mwendelezo hadi ukanyage mafuta mengi izidi speed 60.
Yani jinsi inavyoshtuka utadhani kama gear zinaslip vile. Plugs walizokuwa wameweka zilikuwa sio zake zikiwekwa, muda huo utaona inakuwa sawa ukiendesha kama siku moja hivi, zinazingua.
Toka nimeweka plugs zenyewe juzi nishatembea zaidi ya kilomita 200 hilo tatizo hakuna kabisa.
Mkuu kamwone.... yani wiki ijayo nilikuwa ninaenda kuvua gearbox maana nilikuwa nishaaminishwa hivyo baada ya kubadilisha plug mara tatu. hadi nilikuwa nshasema kweli dualis kimeo na licvt lake.I have the same issue with my Nissan, nafanya mchakato nimuone Jitu
Issue ya transmission kushtuka huwa ni ama ATF imepungua au umeme hautoshi; hizo ndizo sababu zenyewe za kuangalia. Kwa hiyo kama spark plugs zako ndizo zilikuwa mbovu maana yake zilikuwa zinakula umeme mwingi kiasi kuwa transmission ilikuwa haipati umeme wa kutosha. Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha umeme usitoshe, siyo spark plugs tu.Naelewa kuwa hakuna uhusiano kati ya plug na transmission. Ila the way ilivyokuwa ina behave kule kushutuka ungedhani kama gear zinaruka ruka vile ikiwa speed ndogo tena kuna muda si kwamba inashtuka mara moja ni mwendelezo hadi ukanyage mafuta mengi izidi speed 60.
Yani jinsi inavyoshtuka utadhani kama gear zinaslip vile. Plugs walizokuwa wameweka zilikuwa sio zake zikiwekwa, muda huo utaona inakuwa sawa ukiendesha kama siku moja hivi, zinazingua.
Toka nimeweka plugs zenyewe juzi nishatembea zaidi ya kilomita 200 hilo tatizo hakuna kabisa.
Transmission haikuwa ndogo tena nimeibadilisha mwezi wa nne og.Issue ya transmission kushtuka huwa ni ama ATF imepungua au umeme hautoshi; hizo ndizo sababu zenyewe za kuangalia. Kwa hiyo kama spark plugs zako ndizo zilikuwa mbovu maana yake zilikuwa zinakula umeme mwingi kiasi kuwa transmission ilikuwa haipati umeme wa kutosha. Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha umeme usitoshe, siyo spark plugs tu.
Conclusion yake siyo sahihi kabisa. Kwa vile ulibadilisha spark plugs ndipo transmission yako ikaacha mshituko haina maana kuwa kila mshituka wa transmission unasababishwa na spark plugs tu, ambalo ndilo jibu lako; siyo kweli.Transmission haikuwa ndogo tena nimeibadilisha mwezi wa nne og.
The thing ni kwamba gari ilikuwa inashutuka na nadhani ni tatizo la dualis ukiipiga plug zisizo zake ndicho kinachotukumba.
Nadhani wewe ndiye hukunielewa.Conclusion yake siyo sahihi kabisa. Kwa vile ulibadilisha spark plugs ndipo transmission yako ikaacha mshituko haina maana kuwa kila mshituka wa transmission unasababishwa na spark plugs tu, ambalo ndilo jibu lako; siyo kweli.
Mshituko wa transmission husababishwa na ama ATF au umeme basi, labda kama meno ya gear mojawapo amevunjika. Kwa vile umeme wa gari unatoka kwenye alternator na kusambaa gari zima, kitu chochote ambacho kinatumia umeme kikila umeme mwingi kuliko mgao wake wa kawaida basi transmission pia itashindwa kufanya kazi vizuri. Hata redio ikiwa na shoti ikawa inakula umeme mwengi sana basi transmission yako nayo itashtuka.
Shida ni spark plug... hizo engine zinataka plug ambazo ni double iridium tena ziwe original otherwise utafunga plug utaona gari imepona halafu baada ya muda mfupi ugonjwa umerudi tena.Bado kaka haijawa solved
Mkuu, mwenyewe ninashida ya aina hiyo kwenye Noah., ila yangu wali-icheck kwenye machine wakasema kuwa shida ni sensor to., ila hata baada ya marekebisho ishu imebaki vile vile., kwasasa ni mwendo wa kutetemeka na wakati mwingine ipo kama kuna kitu kinagonga., fundi na yeye ninaona kama ameikimbia kazi.,.Shida ni spark plug... hizo engine zinataka plug ambazo ni double iridium tena ziwe original otherwise utafunga plug utaona gari imepona halafu baada ya muda mfupi ugonjwa umerudi tena.
Plug original ninazo warranty 30000Km zimebaki sets 2 muda na saa yoyote zinaisha. Mpaka baada ya week 2 ndio zitakuwepo tena
Mkuu hili tatizo ulifanikiwa kulitatua? Nina changamoto kama yako kwenye Noah old model (SR40). Msaada tafadhali kama ulifanikiwaMkuu, mwenyewe ninashida ya aina hiyo kwenye Noah., ila yangu wali-icheck kwenye machine wakasema kuwa shida ni sensor to., ila hata baada ya marekebisho ishu imebaki vile vile., kwasasa ni mwendo wa kutetemeka na wakati mwingine ipo kama kuna kitu kinagonga., fundi na yeye ninaona kama ameikimbia kazi.,.
Ndugu yangu ingia dm nimekutext kwa kirefu kule… nahitaji msaada wakoShida ni spark plug... hizo engine zinataka plug ambazo ni double iridium tena ziwe original otherwise utafunga plug utaona gari imepona halafu baada ya muda mfupi ugonjwa umerudi tena.
Plug original ninazo warranty 30000Km zimebaki sets 2 muda na saa yoyote zinaisha. Mpaka baada ya week 2 ndio zitakuwepo tena
Boss naomba no zako nachngamoto ya gariShida ni spark plug... hizo engine zinataka plug ambazo ni double iridium tena ziwe original otherwise utafunga plug utaona gari imepona halafu baada ya muda mfupi ugonjwa umerudi tena.
Plug original ninazo warranty 30000Km zimebaki sets 2 muda na saa yoyote zinaisha. Mpaka baada ya week 2 ndio zitakuwepo tena
0688758625Boss naomba no zako nachngamoto ya gari