engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
- Thread starter
- #21
Usinunue gari tradecarview without paytrade take it from me
ni kweli mkuu
Usinunue gari tradecarview without paytrade take it from me
nadhani jumla ni kama milioni 17hivimimi sijaelewa hapa yani hiyo Tsh. 6,845,310 ni itakayo mkosti kama kodi tu, ukitoa CIF au inclusive coz CIF yenyewe inazidi hiyo ulotaja ...ufafanuzi mkuu miye nataka kununua gari ila nashindwa pakupata maelezo sahihi. nisije lifikisha hapa likanishinda
[TABLE="width: 430"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Retail Selling Price[/TD]
[TD="colspan: 2"]46,463[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Depreciation[/TD]
[TD="colspan: 2"]70%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Freight[/TD]
[TD="colspan: 2"] 1,227[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Customs value[/TD]
[TD="colspan: 2"] 6,873[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]FOB Value[/TD]
[TD="colspan: 2"] 5,646[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Import Duty 25%[/TD]
[TD="colspan: 2"] 1,718[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Base[/TD]
[TD="colspan: 2"] 8,591[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Excise Duty 10%[/TD]
[TD="colspan: 2"] 859[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT Base[/TD]
[TD="colspan: 2"] 9,450[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]VAT 18%[/TD]
[TD="colspan: 2"] 1,701[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes usd[/TD]
[TD="colspan: 2"] 4,278[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Total Taxes in TSHs[/TD]
[TD="colspan: 2"]6,845,310[/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[/TABLE]
hii ni ya zamani kidogo TRA wametoa RSP list nyingine almost a month sas ambayo ipo more recent bei zake zipo chini kidogo, mimi niliagiza swift 1.3 ya 2003, RSP ya zamani ilikuwa USD21,500, ila RSP ya karibuni ni kama USD 15,000. Nafkiri polisi yupo sawa[TABLE="width: 664"]
[TR]
[TD="class: Xl65, width: 431, bgcolor: transparent"]escudo - tl52w
[/TD]
[TD="class: Xl69, width: 85, bgcolor: transparent"]≥ 2003
[/TD]
[TD="class: Xl69, width: 78, bgcolor: transparent"]2000
[/TD]
[TD="class: Xl69, width: 72, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: Xl69, width: 100, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: Xl69, width: 48, bgcolor: transparent"]petrol
[/TD]
[TD="class: Xl66, width: 71, bgcolor: transparent"] 77,321
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Badilisha hiyo hela uliyotuma kwa bei ya madafu, kwa hiyo itakugharimu robotatu yake. ila uhakikishe unafanya juhudi sana kuitoa kabla ya siku 7 ikizidi hapo storage ni dola 30 kwa siku
wadau naombeni msaada wenu,nataka kununua hii gari
2003 Suzuki Escudo MANUAL,ALLOY RIM
na
CIF Dar Es Salaam USD 6490
mchanganuo upo hivi;
1.FOB-4811,
2.Freight-1227
3.Insurance-50,
4.Inspection-400
Total 6490USD
JE ITANIGHARIMU TSH NGAPI KWA TRA NA KUITOA
![]()
Specific information
More Photos
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]VIN(Vehicle Identification Number)/Serial No.
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]TL25W-203*** Full VIN/Serial No. will be shown on Proforma Invoice and Invoice
[/TD]
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]Exterior Color
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]Pearl
[/TD]
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]BodyStyle1
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]SUV
[/TD]
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]Interior Color
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]Beige
[/TD]
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]BodyStyle2
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]-
[/TD]
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]Expiry Date
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]Nov / 14 / 2012 (JST)
[/TD]
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]Door
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]5
[/TD]
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]Condition
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]Used
[/TD]
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]Number Of Passengers
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]5
[/TD]
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]Drive Type
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]4wheel drive
[/TD]
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]Dimension
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]4155×1780×1740=12.87m[SUP]3[/SUP]
[/TD]
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]ReferenceNo
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]121015164337
[/TD]
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]Options
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8, colspan: 3"]Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Power Windows / Rear Window Defroster / Rear Window Wiper / Tinted Glass / A/C:front / Power Steering / Remote Keyless Entry / Tilt Wheel / Digital Meter / AM/FM Radio / CD Player / Alloy Wheels / Power Door Locks / Power Mirrors / No accidents
[/TD]
[TH="bgcolor: #F2F2F2"]Comment
[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8, colspan: 3"]☆AUCTION GRADE 3.5
☆NO ACCIDENT HISTORY
☆VERY CLEAN CAR
☆VERY GOOD CONDITION
☆OUT SIDE INSIDE CLEAN
☆CD,MD
☆FRONT AUTO A/C
☆LEVELIZER HEAD LIGHT
☆KEY LESS ENTRY
☆FOG LAMP
☆MUST SEE
☆LOOKS & RUNS GREAT
☆NICE ORIGINAL ALLOY RIM
☆REAR SPOILER
[/TD]
polisi! please naamini hii details ni muhimu, naamini hizo fugure zipo kwenye USD ila chini umemalizia (jumla) katika Tshs. Je hizo kodi zinatozwa katik USD au Tshs? je hizo % (kodi=VAT,excise duty,depreciation)zinatozwa katika figure zipi,?=retails selling price,FOB, CIF, etc? sijui kama nimeeleweka, tujuze maana wengine bado tunajiandaa, swali lingine je ni bora kuagiza gari nje au ninunue hapahapa TZ?
Mkuum ni kodi tu achilia mbali gharama ya kulifikisha gaari bandarini yaani CIF. Kama ulivyoona hapo juumimi sijaelewa hapa yani hiyo Tsh. 6,845,310 ni itakayo mkosti kama kodi tu, ukitoa CIF au inclusive coz CIF yenyewe inazidi hiyo ulotaja ...ufafanuzi mkuu miye nataka kununua gari ila nashindwa pakupata maelezo sahihi. nisije lifikisha hapa likanishinda
Mkuum ni kodi tu achilia mbali gharama ya kulifikisha gaari bandarini yaani CIF. Kama ulivyoona hapo juu
Import duty usd 1,718
Excise duty usd 859
VAT usd 1,701
JUMLA usd 4, 278
Kwa hiyo ukabadilisha kwa hela yetu, mimi niliweka usd/ths = 1,600 ndo unapata sh. 6,845,310. Na hiyo bado hajalitoa gari maana kuna makolokolo mengine mengi kama vile ushuru wa bandari, usajili n.k
1. Malipo TRA hufanyika kwa shilingi za kitanzania ila TRA huanza kwa kukokotoa customs value ambayo huwa katika dollar, kisha wanapigia exchange rate ya siku hiyo ambayo huwa iko chini kuliko za kwenye bureau.
2. Kodi inatozwa kwenye base value kama alivyoonyesha Polisi. Kwa mfano Excise Duty 10% inaokana na customs value kujumlisha 25% ya import duty.
3. Kuagiza ama kutoagiza inategemea vitu vingi kidogo.
- Kwa mfano budget yako ikoje, magari mengi yauzwayo na watu binafsi huwa yamepita kwa watumiaji angalau wawili hivyo bei huwa chini. Shida yake hutoambiwa gari ina tatizo gani zaidi sana utaelezwa "naenda masomoni au kuna gari nimeagiza iko bandarini au namalizia ujenzi, gari ya wife ameichoka......" kumbe gari linakunywa mafuta kama jini..
- Kuna yard zipo dar na mikoani magari yanauzwa..Hapa kuna tatizo moja tu...Uhakika wa unachonunua yakupasa uwe makini maana bongo kwa makarateee ni sawa na uji kwa mgonjwa. Uzuri wake ni kwamba hubebi risk ya kuagiza gari Japan ambayo huna uhakika itakuja na ikija itakuwa sawa na uloiona kwenye mtandao.
Binafsi nina uzoefu wa zote na hakuna ktk isiyo na mushkeli cha msingi ni kuchukua tahadhari kwa risk zinazojulikana...
Mkuum ni kodi tu achilia mbali gharama ya kulifikisha gaari bandarini yaani CIF. Kama ulivyoona hapo juu
Import duty usd 1,718
Excise duty usd 859
VAT usd 1,701
JUMLA usd 4, 278
Kwa hiyo ukabadilisha kwa hela yetu, mimi niliweka usd/ths = 1,600 ndo unapata sh. 6,845,310. Na hiyo bado hajalitoa gari maana kuna makolokolo mengine mengi kama vile ushuru wa bandari, usajili n.k
Kiongozi kwa sasa ni rahisi sana kukadiria gharama ya gari unaloagiza hata kabla hujalipia tofauti na zamani ambapo ushuru ulitegemea assessment ya customs officer (rushwa).
yani natamani gari ila nahofiaga pale bandarini nisije liacha, niliwai kupata swift kali mpaka linafika ilikuwa kama mil 3 hivi kwa makadrio lakini kwasababu yakutojua kodi nikaona isije nikatokwa milioni 6 nyingine hapa mpaka linakaa road. haha ha aha
USIKOPE BANK ILI KUNUNUA GARI [/B]ya kutembelea iwapo haitakusaidia kuongeza kipato chako ama ufanisi ktk kazi zako.
mkuu hapo kwenye red, kwa sie walala hoi kununua gar km hiyo ya mshkaj inaonekana ni zaidi ya mill 14, je tunaweza kuweka vipato vyetu mpaka kufikia hapo?, au ndo tusahai mambo ya magari?Kiongozi kwa sasa ni rahisi sana kukadiria gharama ya gari unaloagiza hata kabla hujalipia tofauti na zamani ambapo ushuru ulitegemea assessment ya customs officer (rushwa).
Ukiondoa kodi za serikali kuna gharama zingine kama:
- Other charges za tra (e.g registration) sio zaidi ya shs. 350,000
- Shipping line Usd 70 hadi USd 85 inategemea na ukubwa wa gari (CBM)
- Port charges kama hakuna storage charges (shs. 250,000 hadi shs. 500,000) hutegemea ukubwa wa gari pia
- Number plates shs 38,000 (Masasi Signwriters)
- Clearing Agents wanagonga hadi Usd 250 kwa gari ila mimi hulipa about shs. 200,000. Kuna kitu clearing agents wanaita facilitation fee usilipe unless documents zako zina mushkeli...
KWA KAWAIDA HAIZIDI MILIONI...
Pia kuna Insurance: comprehensive 3% ya thamani ya gari; 3rd party hata sh.40,000 unapata
Kwa hiyo usiogope sana cha msingi (kwa mtazamo wangu) USIKOPE BANK ILI KUNUNUA GARI ya kutembelea iwapo haitakusaidia kuongeza kipato chako ama ufanisi ktk kazi zako.
mkuu hapo kwenye red, kwa sie walala hoi kununua gar km hiyo ya mshkaj inaonekana ni zaidi ya mill 14, je tunaweza kuweka vipato vyetu mpaka kufikia hapo?, au ndo tusahai mambo ya magari?
Kiongozi kwa sasa ni rahisi sana kukadiria gharama ya gari unaloagiza hata kabla hujalipia tofauti na zamani ambapo ushuru ulitegemea assessment ya customs officer (rushwa).
Ukiondoa kodi za serikali kuna gharama zingine kama:
- Other charges za tra (e.g registration) sio zaidi ya shs. 350,000
- Shipping line Usd 70 hadi USd 85 inategemea na ukubwa wa gari (CBM)
- Port charges kama hakuna storage charges (shs. 250,000 hadi shs. 500,000) hutegemea ukubwa wa gari pia
- Number plates shs 38,000 (Masasi Signwriters)
- Clearing Agents wanagonga hadi Usd 250 kwa gari ila mimi hulipa about shs. 200,000. Kuna kitu clearing agents wanaita facilitation fee usilipe unless documents zako zina mushkeli...
KWA KAWAIDA HAIZIDI MILIONI...
Pia kuna Insurance: comprehensive 3% ya thamani ya gari; 3rd party hata sh.40,000 unapata
Kwa hiyo usiogope sana cha msingi (kwa mtazamo wangu) USIKOPE BANK ILI KUNUNUA GARI ya kutembelea iwapo haitakusaidia kuongeza kipato chako ama ufanisi ktk kazi zako.
Kwa hiyo sasa hivi bandarini hakuna rushwa?Kiongozi kwa sasa ni rahisi sana kukadiria gharama ya gari unaloagiza hata kabla hujalipia tofauti na zamani ambapo ushuru ulitegemea assessment ya customs officer (rushwa).
Clearing agent kazi yake nini? Hivi ukiwa na hela yote ambayo TRA wanataka, na unajua kujaza fomu (tuseme hata kama hujui kusoma na kuandika, manake mahesabu yote wanafanya wao, inabidi wao TRA ndio wafanye paper work yote, hivi hapo clearing agent wa nini?Clearing Agents wanagonga hadi ...KWA KAWAIDA HAIZIDI MILIONI...
Kwa hiyo kama unaweza kupanda dala dala na ukawahi kazini kila siku na ufanisi ukawa pale pale basi usi finance gari? Udandie madala dala maisha?Kwa hiyo usiogope sana cha msingi (kwa mtazamo wangu) USIKOPE BANK ILI KUNUNUA GARI ya kutembelea iwapo haitakusaidia kuongeza kipato chako ama ufanisi ktk kazi zako.
Usinunue gari tradecarview without paytrade take it from me
Kwa hiyo sasa hivi bandarini hakuna rushwa?
Clearing agent kazi yake nini? Hivi ukiwa na hela yote ambayo TRA wanataka, na unajua kujaza fomu (tuseme hata kama hujui kusoma na kuandika, manake mahesabu yote wanafanya wao, inabidi wao TRA ndio wafanye paper work yote, hivi hapo clearing agent wa nini?
Kwa hiyo kama unaweza kupanda dala dala na ukawahi kazini kila siku na ufanisi ukawa pale pale basi usi finance gari? Udandie madala dala maisha?