Msaada: Gaming laptop VsPS4

Guilherme

Senior Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
100
Reaction score
78
Habari zenu wakuu, natumai nyote ni wazima wa afya. niende moja kwa moja kwenye mada ni hivi nimepanga ninunue moja ya mashine tajwa hapo juu sasa nipo njia panda sijui nichukue ipi kati ya ps4 na gaming laptop aina ya dell g3 3579 yenye i5 ram 8 nvidia gtx 1050, naombeni ushauri wenu wakuu ukizingatia faida na hasara ya kila mashine tajwa hapo juu πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mkuu inategemea mrengo wako, kuna pc gamers ambao huawelezi chochote kuhusu consoles, and vice versa. But for me pc gaming is the best esp kwa games za FPS
Sent using Jamii Forums mobile app
 
chukua mnyama dell uenjoy maisha achana PS4 hiyo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kamata gaming desktop, iko versatile unaweza upgrade ram, processor, video card, etc

plus upatikanaji wa games uko rahisi sana, ocean of games kule unapakua uitakayo ,
 
kamata gaming desktop, iko versatile unaweza upgrade ram, processor, video card, etc

plus upatikanaji wa games uko rahisi sana, ocean of games kule unapakua uitakayo ,
nashukuru mkuu kwa hiyo niachane na gaming laptop?
 
Nmekua mpenzi wa consoler toka ps1 so obvious ntasimamia kwangu ila Kama wataka consoler ni bora desktop kuliko laptop.jiandae kwa gharama proper gaming desktop si chini million 2 wakati chini ya laki7 wapata PS4 au Xbox one mpya...pia kwa sisi watu wazima kukaa kwe desktop uchovu bora una smart yako inch 58 PS4 ukichoka unakula Netflix ....good luck

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahsante kwa ushauri mkuu umesomeka πŸ™ πŸ™ πŸ™ πŸ™
 
Mbona pc unakonect na tv yako tena ndio inakuwa poa zaidi.
 
Chukua pc, kwanza inakuoffer vitu vingi mbali na games tu. Fanya pia upate na tv kubwa yenye kusupport 4k uenjoy zaidi. Hata games utazipata kiurahisi zaidi.
 
Chukua pc, kwanza inakuoffer vitu vingi mbali na games tu. Fanya pia upate na tv kubwa yenye kusupport 4k uenjoy zaidi. Hata games utazipata kiurahisi zaidi.
nmekupata mkuu nashukuru kwa ushaurii πŸ™ πŸ™ πŸ™ πŸ™
 
Hii laptop ina nguvu kushinda ps4, inategemea na bei unayopata ila inaweza ikawa choice nzuri kushinda hata desktop za kibongo bongo.

I5 zenye core 6 za 8th gen zina nguvu kushinda i7 zote za gen ya 7 kushuka chini (minus EDT)

Pia ipo version ya G3 yenye thunderbolt 3 hii ni future proof zaidi maana TB3 inakubali kutumia gpu ya nje.
 
yah hii g3 ni mashine sana nmekupata mkuu shukrani πŸ™ πŸ™ πŸ™
 
Kuna gaming desktop hapa

In i7 3770 3.4ghz
Ram 8gb
Hdd 1tb
Graphic radeon r9 280x 3gb

Ina games kama
Gear of war 5
Fifa 19
Star war mpya ile

Na ukitaka zingine nakuwekea

Nauza 950k tu
Nicheki kwa namba ya sm kama upo serious hiyo chinu

0752527054
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…