Ahsante mkuu ila ungeni fafanulia nini kinasababisha hiyo shock ya betry maana ninatembea na betry ya ziada kuepuka kutembea na charger or power bank na hali ndio hiyo hiyoHuenda ni shock ya betri japo sio 100%
Jarbu kuweka betri nyngine uone kama tatizo litaendelea.
Wakuu habari za mapumziko ya Eid.
Simu yangu S 5 inajizima na kujiwasha mara kwa mara hasa pale ninapoiwasha kwa mara ya mwanzo asubuhi kwanza zile apps ambazo ziko kwenye sd card zina grey out kwa muda mrefu then anaanza kujizima na kujirestart kwa muda au wakati mwingime inazima kabisa mapaka niiwashe tena.
Wajuzi Khalfan 56 ,Chief mkwawa na wengineo itifaki imezingatiwa naomba msaada wenu!
Natanguliza shukurani
inawezekana cable inayoconnect screen na motherboard imecheza yangi ilikuaga na tatizo kama lakoWakuu habari za mapumziko ya Eid.
Simu yangu S 5 inajizima na kujiwasha mara kwa mara hasa pale ninapoiwasha kwa mara ya mwanzo asubuhi kwanza zile apps ambazo ziko kwenye sd card zina grey out kwa muda mrefu then anaanza kujizima na kujirestart kwa muda au wakati mwingime inazima kabisa mapaka niiwashe tena.
Wajuzi Khalfan 56 ,Chief mkwawa na wengineo itifaki imezingatiwa naomba msaada wenu!
Natanguliza shukurani
Naam nilifanya hivyo ,ila kuna mtu akaniambia nofanye factory reset nimefanya leo ninerudisha few apps bado file za picture tu ambazo nimezihifadhi kwenye laptop mpaka sasa inafanya vizuri tu nadhani kuna apps ilikuwa haijatulia na plani yangu nikurudisha app moja au mbili kwa sikukama umeeka apps kwenye sd card, ukiitoa halafu ukiwasha tatizo linaendelea?