SAMSUNG GALAXY S 4 VS IPHONE 5 BRUTAL DESTRUCTION TEST(video)

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
katika hii video sg 4 na iphone 5 zimeshindanishwa ipi inaweza kusurvive katika mazingira magumu,
1.zimewekwa katika maji kwa muda wa dakika 2 na zaidi,then zikawa recovered
2.zimefanyiwa scratching kwa funguo,coin ili ijulikane ipi kioo chake ni imara
3.zimedondoshwa kutoka juu kama umbali wa mita 10 hivi mpk chini na kujibamiza katika uso wa kioo ,ila hapa nilichopenda inaonekana sg4 designing yake imetengenezwa ili kuizuia isiangukie kwenye kiioo na badala yake iangukie kwenye angle ya sg 4 coz imebidi idondoshwe zaidi ya mara 5,
4.zimekanyagwa na tairi la gari kubwa

simu zote zilikuwa mpya zimetolewa ndani ya boksi,kitu kizuri katika hii video inatufundisha jinsi gani ya kuziponya simu zetu ambazo sio water proof baada ya kuingia maji,

it is ana intersting video i strongly recommend you to watch,ila kwa muhtasari ni kwamba samsung galaxy s 4 ameibuka mshindi katika hayo mazingira matatu niliyoyaorodhesha hapo juu!!!

[video]http://www.cnet.com/8301-17938_105-57588673-1/galaxy-s4-upsets-iphone-5-in-our-brutal-destruction-test-video/[/video]
 
Sidhani kama kuna simu mbovu kwa kupasuka vioo kama iphone... Hata huku tunakonunua kuna iphone kibao tatizo kioo.
 
Sidhani kama kuna simu mbovu kwa kupasuka vioo kama iphone... Hata huku tunakonunua kuna iphone kibao tatizo kioo.
Ila inawezekanakwa sababu ziko nyng ndio maana unaona nyng zina matatizo hayo!!!
 
Back
Top Bottom