Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,234
- 1,503
Habari wana jamii. Hii tablet ilikuwa ina-run very smooth. Lakini sasa ina tabia si yakawaida. Nikiwa na-surf kwenye internet, ghafla inarudi home screen. Ukifungua browser, inarudi kwenye page ileile uliyokuwa uki-surf. But sometimes hairudi palepale na inabidi nifungue page upya. Tatizo na suluhu ni nini wadau?