Kama simu ni original wapelekee Samsung wenyewe ,nafikiri watakuwa na office DarKuwa serious japo kidogo mkuu simu ya 1m+ nitupe kirahisi hivyo??
ni original?? fanya ku restore kwanza ikishindikana itabid uweke rom MpyaWadau nimekuwa nikipata hili tatizo kwenye simu yangu(samsung galaxy note 4), muda mwingine inawaka na kutoa maandishi na inazima, muda mwingine hata maandishi haitoi wala kuonyesha % za kujichaji, yaan inakuwa inavibrate na kujizima na kujirudia!!
Naombeni mawazo yenu nini cha kufanya kabla ya kupelekea mafundi!!
Natanguliza shukrani!!
umefanya factory reset?Yah ni original mkuu
Wadau nimekuwa nikipata hili tatizo kwenye simu yangu(samsung galaxy note 4), muda mwingine inawaka na kutoa maandishi na inazima, muda mwingine hata maandishi haitoi wala kuonyesha % za kujichaji, yaan inakuwa inavibrate na kujizima na kujirudia!!
Naombeni mawazo yenu nini cha kufanya kabla ya kupelekea mafundi!!
Natanguliza shukrani!!
poa poa mkuuMkuu asante nimefanya hivyo... Imework!!
Inawezekana button ya power imejiHoldWadau nimekuwa nikipata hili tatizo kwenye simu yangu(samsung galaxy note 4), muda mwingine inawaka na kutoa maandishi na inazima, muda mwingine hata maandishi haitoi wala kuonyesha % za kujichaji, yaan inakuwa inavibrate na kujizima na kujirudia!!
Naombeni mawazo yenu nini cha kufanya kabla ya kupelekea mafundi!!
Natanguliza shukrani!!
Ni kweli ndiyo maana nikalileta humu kwanza.. Maana mafundi wengi wababaishaji!