Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,434
Usiwe unapigia,unapigiwa na wenye Simu za kichina watakuharibia Simu yako bure kaa mbali nao tatizo hilo litakwishaHabari wadau?!
Ninatumia Samsung galaxy s duos s7562 ambayo inamwaka mmoja na miezi kadhaa sasa.. Imekuwa na tatizo la kustack/kufreeze/kuhang nimeivumilia kwa vile RAM yake siyo kubwa (around 700 MB). Lakini hivi majuzi imeanza tatizo serious la kuzima automatically na nikiiwasha charge inaonesha iko 1%-5% hata kama ndo nimeitoa kwenye charge!! Nikiirestart inapanda hadi 60%-70%.. Na mara nyingi ikishazima haiwaki kwa kupress power button hadi nitoe battery na kuirudisha ndo inakubali!!
Sina hakika kama ni hardware issue au ni software kabla sijawapelekea mafundi wa kitaa naomba msaada kwa mwenye experience na tatizo kama hili alifanyeje kulisolve.
Asante...
Jarbu kureset data ama fanya restoring factory bla shaka itatulia tu.
Epuka bidhaa fake za kichina,inawezekana!
badili betri...
Badilisha betri ya kwangu ilikuwa na tatizo hilo nilivyobadiki battery na kureset data, nilifanya factory reset iko poa sasa.
Tupa. Simu hiyo imejaa bacteria, ukiendelea kukaa nayo itakuambukiza magonjwa usiyotarajia.
Usiwe unapigia,unapigiwa na wenye Simu za kichina watakuharibia Simu yako bure kaa mbali nao tatizo hilo litakwisha
yakwangu ni s6802 na ina tatizo kama lako.nilipoirudisha mlimani city wakanielekeza niende mtaa wa maktaba ndo kuna mafundi wao.ila sikwenda nasubiri iwe rightoff ninunue kitu kipya lakini si sumsung tena kilichonikera zaidi ukiwa unanunua wanakujari sana ila ukirudisha hawakujari poor customer care.nawashauri tujaribu cm za aina ingine aisee silazima sumsung
I can't believe you are serious!!!
jaribu kutoa memory halaf iwashe ikiwa poa bac ifomat memo kabla ya kuirudishia ikiwa bado badirisha betri