Mwishowe itagoma kuwaka na utalazimika kuiglash,kwa uelewa wangu application ulizodownload nyingi umezistoo kwenye memory device,so unatakiwa uzihamishe uweke kwenye memory card,ingia kwenye application then uangalie moja moja uziondoe kwenye memory device na uzipeleke kwenye memory card,kisha utaniambia,pia km unauwezo download application iitwayo go launcher ndani yake utapata clen master zinazoua application zinazo run ambazo hazihitajiki.