Msaada galax s4

Devid Ngomuo

New Member
Sep 20, 2012
4
0
Simu yangu inazimika bila sababu ya msingi,, hasa nikiwa natumia internet. Na kuna baadhi ya application nikiwa natumia zinanipa warning ya kuscan for virus,, mpaka sasa cjajua haswa nin tatizo.
 

vyuku

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
501
225
Mwishowe itagoma kuwaka na utalazimika kuiglash,kwa uelewa wangu application ulizodownload nyingi umezistoo kwenye memory device,so unatakiwa uzihamishe uweke kwenye memory card,ingia kwenye application then uangalie moja moja uziondoe kwenye memory device na uzipeleke kwenye memory card,kisha utaniambia,pia km unauwezo download application iitwayo go launcher ndani yake utapata clen master zinazoua application zinazo run ambazo hazihitajiki.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom