Naishi Kitunda Banana, Huku mfundi wengi Kwa hizi tv Bado, naogopa kuwapelekea chombo changu. Nataka fundi aliyekamilikaMTAA UNAOKAA HAMNA FUNDI TV KWELI?
Nisaidie unayemjua nipo DarFundi acheck Switching trasistor ya Flay back transformer(FBT) na pia acheck IC inayodrive hiyo FBT circuit
Utamjuaje kuwa huyu amekamilika😁Naishi Kitunda Banana, Huku mfundi wengi Kwa hiz tv Bado,naogopa kuwapelekea chombo changu,Nataka fundi aliyekamilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Anunue nyingine yenye warrantyFundi acheck Switching trasistor ya Flay back transformer(FBT) .na pia acheck IC inayodrive hiyo FBT circuit
MKUU MI SIO MWENYEJI WA MTAA WAKO, NINGEKUWA NAJUA...SANASANA NINGEKUELEZA KARIAKOO MAFUNDI KONKI WAPO
Khaa amesema ni ya kawaida😲😲sawa Ina weza kuwa T con au power supply .Ila nimeshampa no ya fundi atamsaidia
Khaa amesema ni ya kawaidasawa Ina weza kuwa T con au power supply .Ila nimeshampa no ya fundi atamsaidia
Taa za LED zimeungua hamna tatizo zaidj ya taaSalamu.
Tv yangu imepata shida km hii..
Aina ya Tv ni LG.
Ukii connect inawaka kitaa chekundu tu cha stand by.
Haiendelei zaidi ya hapo!
Iwe kwa remote control au botton yake.
Msaada na mm.
Hizi taa za led naweza kuzipata ktk maduka gani, Sanjari na ilo nitakapoenda kununua ninatakiwa niwe na details zipi zenye uhusiano na Tv yenye tatizo husika?Taa za LED zimeungua hamna tatizo zaidj ya taa
Mkuu natumaini ulinunua Tv na sio Taa ya koroboi tena 😁🤗wakuu wekeni namba ya fundi na mimi koroboi langu lishakata kauli...