Msaada fundi wa TV flat screen, TV yangu imegoma kuwaka

mahingah

Senior Member
Oct 4, 2016
199
275
Nina TV yangu kampuni ya PHILIPS imegoma kuwaka toka juzi inawaka taa nyekundu tu, nilijua kutotumia remote nikaenda kununua lakini wapi haiwaki. naombeni msaada Kwa anayejua fundi wa hizi TV, Sio smart ni ya kawaida

IMG_20200526_154631_7.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri upeleke uliponunulia Kama haijamaliza mwaka tafuta ile warantee kabla hujaichokonoa kwa mafundi wa mtaani
 
Out of topic... binafsi napenda sana kununu electronics item za brand zenye dealer hapa Tanzania... Sony na Samsung...
 
Salamu.
Tv yangu imepata shida km hii..
Aina ya Tv ni LG.
Ukii connect inawaka kitaa chekundu tu cha stand by.
Haiendelei zaidi ya hapo!
Iwe kwa remote control au botton yake.
Msaada na mm.
 
Salamu.
Tv yangu imepata shida km hii..
Aina ya Tv ni LG.
Ukii connect inawaka kitaa chekundu tu cha stand by.
Haiendelei zaidi ya hapo!
Iwe kwa remote control au botton yake.
Msaada na mm.
Taa za LED zimeungua hamna tatizo zaidj ya taa
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom