msaada: fundi wa sreen ya laptop iliyopasuka

simakoku

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
588
Reaction score
676
yoyote mwenye kufahamu fundi au sehemu ambayo anapatikana fundi wa uhakika wa kutengeneza sreen ya laptop iliyopasuka tafadhali naomba msaada
 
Nunua supa gluu na uunganishe mwenyewe! Kabla haijakauka miminia majivu kidogo kwenye ufa wa screen, mimi yangu nimefanya hivyo na iko poa kinoma.
 
yoyote mwenye kufahamu fundi au sehemu ambayo anapatikana fundi wa uhakika wa kutengeneza sreen ya laptop iliyopasuka tafadhali naomba msaada

kama upo Dar 0713 756980
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…