KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Mkuu futi6 inatosha unawekewa c band 3 na ku 3 jumla6
unapata zaidi ya chanel 300 kwa mpeg4
Tafadhali mkuu namba mchanganuo wa hizo lnb ili nizifanyie kazi mkuu
Mkuu futi6 inatosha unawekewa c band 3 na ku 3 jumla6
unapata zaidi ya chanel 300 kwa mpeg4
Mkuu nina kama miezi 6 hivi,nlikua natumia,ila baada ya kulipia dstv nkaiacha,manake receiver zilikua mbili,so inakua ni vurugu tuu,nikawa natumia analog ya antena,sasa naulizia kama kuna mjuzi wa kujua jins ya kuweka channels anijulishe tafadhali kabla sijaita kishoka aje anilambe buku 50,manake mafund wa kibongo kwa njaa,tatizo dogo tuu atakaa siku nzima ili akuibie zaidi.Kwa muda gani? Kwa sababu kuna baadhi ya chaneli zilibadilisha masafa
Inawezekana kwa fut 6 kweli?! Nadhani dish kubwa ndiyo Zuri zaidi kwa Lnb zote hizo. Au umejaribu na unapata zote hzo bila Usumbufu? Je mediacom na nyinginezo Mpeg2 zaweza kubeba satellite zaidi ya Nne?Mkuu futi6 inatosha unawekewa c band 3 na ku 3 jumla6
unapata zaidi ya chanel 300 kwa mpeg4