Msaada fundi wa ma free to air dish(local channels)

bigboi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
1,524
Reaction score
4,760
Nimenunu startime yaani nimizinguo mitupu nimechaguaa package ile ya juu kabisa yaani ni wizi wa mchana yaani naona afadhali nifunge dish la local channels niache kulipia huu uozo nimesoma post nyingi za wadau watu wanashauri uwe na dish la futi nane na receiver ya strong mpeg 4 nipo dar kama nataka local channels nyingi nipo tayari kufunga hata lnb 4 kama kuna mtu anamjua fundi ambaye sio longo longo au ushauri tu mnisaidie
 
Kwa mtazamo wangu, kwa sasa usiangaike na Ving'amuzi, chukua muda uangalie upepo unaelekea wapi, utapata king'amuzi utakachokipenda. Kwa wakati huu nunua Dish la futi 8, lnb C-Band moja 777,888 au 999 gulf star na KU-Band 2 za gulf Star pamoja na receiver ya MPG2 ukipata ya MPG4 itakuwa bomba sana kwani zinauwezo wa kufungua scrambled channel. Ukimpata fundi mzuri unauwezo wa kupata channel zaidi ya 70 Free wakati wote zikiwemo za Tanzania.
 
Mkuu kama unajua hapa dar watu gani mafundi wazuri wa haya madish ya local channels
 
Hapana Sifahamu, nipo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, ningekusaidia Ndugu yangu BigBoi.
 
tafadhali jamani tunaomba na gharama za hayo madish ili tujipange kuyanunua maana ving'amuzi hamna kitu huko
 
Dish pamoja na Receiver na Lnb nne na cable waya,ni zaidi ya Laki mbili,inategemea receiver utakayonunua. Receiver za Mpeg2 ni rahs kuliko Mpeg4,lakini bei zaidi ni mpeg4 HD.
 
mi na futi 6, na mpg2 local ch. ni Itv, eatv, capital Na tbc1, zngne nishasahau. hv nikiweka mpg4. tapata startv na Ch.10?
 
Kwa nini huzipati unatumia frq zipi maana Ch10 ni 4066/2848 na Star tv ni 3884/4900
 
thank u ndugu nimeipata vzr ch 10 kwa frq ulizonipatia, ila startv ndo bado imegoma
 
Mkuu kuna chaneli yeyote ya kihindi kwenye receiver ya 930+
 
Nimenunu startime yaani nimizinguo mitupu nimechaguaa package ile ya juu kabisa yaani ni wizi wa mchana yaani naona afadhali nifunge dish la local channels niache kulipia huu uozo nimesoma post nyingi za wadau watu wanashauri uwe na dish la futi nane na receiver ya strong mpeg 4 nipo dar kama nataka local channels nyingi nipo tayari kufunga hata lnb 4 kama kuna mtu anamjua fundi ambaye sio longo longo au ushauri tu mnisaidie

0752068069... U wont be disappointed
 
wakuu niliwekaga dish la fta mda,nlikua naona channel za locals,nkawa natumia dstv,sasa dish la bure nkaliacha,leo nimejaribu ku connect receiver imegoma,jins gan naweza ku re install mwenyewe?channels zipo ila huoni kitu
 
Kwa muda gani? Kwa sababu kuna baadhi ya chaneli zilibadilisha masafa
 
Kwa mtazamo wangu, kwa sasa usiangaike na Ving'amuzi, chukua muda uangalie upepo unaelekea wapi, utapata king'amuzi utakachokipenda. Kwa wakati huu nunua Dish la futi 8, lnb C-Band moja 777,888 au 999 gulf star na KU-Band 2 za gulf Star pamoja na receiver ya MPG2 ukipata ya MPG4 itakuwa bomba sana kwani zinauwezo wa kufungua scrambled channel. Ukimpata fundi mzuri unauwezo wa kupata channel zaidi ya 70 Free wakati wote zikiwemo za Tanzania.

Mkuu futi6 inatosha unawekewa c band 3 na ku 3 jumla6

unapata zaidi ya chanel 300 kwa mpeg4
 
Back
Top Bottom