Msaada fundi rangi (nyumba) wa kisasa

Msaada fundi rangi (nyumba) wa kisasa

mlimbwende

Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
74
Reaction score
26
Wadau anaemfahamu fundi ujenzi anae paka rangi nyumba (kisasa) tafadhari naomba anijulishe
 
Nenda VETA wana contact za watu waliosoma pale na wanafanya kazi zao.
 
Mpigie uyo nifundi mzuri 0755984282 alipaka kwangu
 
Kuna vijana wanaongoza kwa upakaji rangi Dar. Inategemea na bajeti yako!!
 
Budget aijalishi sana naangalia quality kwanza wewe nipe namba zao kama tutafikia muafaka tutafanya kazi
 
Hongera kwa kutufahamisha kwamba umejenga nyumba ya kisasa.

hajasema kwamba ye kajenga nyumba ya kisasa, kasema anahitaji fundi anayeweza kupaka rangi kisasa....punguza mapovu!
 
Wasiana na huyu hautajuta anaweza kazi kiwango cha ikulu ila hela tu ujiandae ila kama mwenyewe umemaanisha kweli kisasa sidhani kama mtashindwana.
 
Back
Top Bottom