FF sio majibu ya kiungwana haya.
Inawezekana kainunua wiki iliyopita na inahitaji mtaalamu tu kuweka sawa.
Kama wewe upo njema kiasi hicho cha simu ikigoma kidogo unatupa kule ujue kuna wenzako hali ni tofauti kabisa.
Mkuu mleta mada jaribu kueleza una simu gani na nini hasa tatizo lake, wataalamu wapo wengi humu watajaribu kukushauri nini cha kufanya, kama inatengenezeka au la au kukuelekeza fundi wa tatizo lako